Kuna watu wanaudhi sana! Umagharibi mwingi tu kama huyo X-AgentAcha utoto mkuu..
Kuna watu wanaudhi sana! Umagharibi mwingi tu kama huyo X-AgentAcha utoto mkuu..
Uko sahihi kwa mawazo yako, ila sheria ni sheria lazima ifatwe au ivunjwe with consequences.Nyie ndiyo mnaleta haya majanga. Ati utu, kwani kuoneshwa na hicho anachokifanya kipi kinaondoa utu wake?
Seran hii ipo sawa?Kaka sheria inakataza soma
The Law of the Child Act, 2009 [Cap. 13 R.E. 2019] section 33 (1 ).
Wazungu wametuletea utamaduni kwamba mtoto asipigwe sio shule sio madrasa. Wakati uislam na uafrika unataka mtoto umnyoshe kwa bakora mpaka akae sawa. Haya ndio madhara yakeFamilia ya PPM wa Mwanza, inawashukuru wote waliosaidia kusambaza taarifa za binti yao mwenye miaka 15 ambaye alitoroka kituo cha kusaidia kupambana na uraibu (Rehabilitation center) kiitwacho Vision of Hope Initiative kilichopo Njiro-Arusha.
Binti alipelekwa kituoni hapo ili kusaidiwa kupambana na uraibu uliokua unamsumbua lakini alitoroka. Hata hivyo kuna watu walimuona huko Sinza jijini DSM na wakatoa taarifa kwa wazazi ambazo zilisaidia kumpata.
Kwa sasa amepelekwa Kigamboni kwenye kituo kingine cha kumsaidia kupambana na uraibu. Wazazi wake wanawashukuru sana wote waliosaidia kutoa taarifa zilizopelekea kupatikana kwa binti yao.!
Credit: Malisa Facebook page
ILANI: Picha ya mhusika na jina vimeondolewa kumlinda mtoto.
Kama unajiona umekamilika unakosea sanaMungu alishamaliza kazi, mwacheni apumzike wanaoamua kumwabudu wafanye hivyo, siyo kumpa kazi za ku deal na walevi .
Kama hamtaki tumjue yanini kuleta taarifa?If she's 15, huyu ni mtoto why the hell are you posting her photo ? Moderator
FactsWazungu wametuletea utamaduni kwamba mtoto asipigwe sio shule sio madrasa. Wakati uislam na uafrika unataka mtoto umnyoshe kwa bakora mpaka akae sawa. Haya ndio madhara yake
Hiyo nimeona pia kwenye komenti. But kama hilo danguro linajulikana kwanini wahusika wasikamatwe? Kuna mtu AME komenti kwamba kuna siku aliingia Instagram bay TikTok live akawa anasagana live na mtoto mwenzakeHizo rehabilitation centers ni mpaka mraibu mwenyewe aamue kuacha ndiyo anapelekwa huko kupata usaidizi,km hajaamua ni kupoteza muda tu.
Halafu huyo binti inaelezwa siyo uraibu wa dawa,ni malaya anauzwa kwenye danguro moja na watoto wengine.
Sijamaanisha hivyo mkuu. But wavuta unga wengi wanatoka familia za kishua. FuatiliaMateja wa Mabibo na Manzese hata kusoma na kuandika hawajui. Wamesoma English Medium zipi?
hakika, ndio maana unakuta mtoto mdogo ana presha, ugonjwa wa moyo,.... n.kMavyakula ya sikuhizi watoto wanaumuka sana
Mkuu Wacha utoto. Huyo binti mpaka picha Zake na video Zake za ngono watu wanazo zimejaa mtandaoni. Kuna siku aliwahi kuongia Insta live akaanza kusagana na binti mwenzake live uchi wa mnyama kila mtu anazo. U feminist hautakupeleka popote my brother achana hiyo life style. Ni miyeyushoNashkuru Picha imeshushwa, Hoja zako na misingi yako zisiingilie uhuru na haki za wengine, let's be positive and humanly, ukija kuwa Mzazi utaelewa tunachokipambania.
Wazazi wanataka watoto wawe kama wazungu ndio matokeo yake hayo. Ndio maana LIKUD huwa anaziponda sana shule za EMS kuna namna zinawafanya watoto kuwa wajinga wajinga.. Toto la kiume la miaka 12 linajilegeza Saudi linaita eti * Daddy" " Mommy"Kinachoshangaza alifanya insta live na mwenziwe(ke) wakiwa wanafanya uchafu, kwa ule ujasiri hauendani na hii miaka 15.
Pole sana kwa familia yake, wanahitajika wafanye kazi ya ziada kumkomboa binti yao na maisha ya kuiga(umarekani+usinza).
Wazazi na walezi jitahidini kulinda vizazi vyenu, epukeni na malezi ya uzungu mwingi mnaharibu watoto wenyewe.
#Hallelujah
Havina uhusiano. Kama una uwezo wa kuzalisha basi tena mate chini. Ulezi hauna ujuaji.Wazazi wanataka watoto wawe kama wazungu ndio matokeo yake hayo. Ndio maana LIKUD huwa anaziponda sana shule za EMS kuna namna zinawafanya watoto kuwa wajinga wajinga.. Toto la kiume la miaka 12 linajilegeza Saudi linaita eti * Daddy" " Mommy"
amesema tu URAIBU ila hajasema uraibu wa niniFamilia ya PPM wa Mwanza, inawashukuru wote waliosaidia kusambaza taarifa za binti yao mwenye miaka 15 ambaye alitoroka kituo cha kusaidia kupambana na uraibu (Rehabilitation center) kiitwacho Vision of Hope Initiative kilichopo Njiro-Arusha.
Binti alipelekwa kituoni hapo ili kusaidiwa kupambana na uraibu uliokua unamsumbua lakini alitoroka. Hata hivyo kuna watu walimuona huko Sinza jijini DSM na wakatoa taarifa kwa wazazi ambazo zilisaidia kumpata.
Kwa sasa amepelekwa Kigamboni kwenye kituo kingine cha kumsaidia kupambana na uraibu. Wazazi wake wanawashukuru sana wote waliosaidia kutoa taarifa zilizopelekea kupatikana kwa binti yao.!
Credit: Malisa Facebook page
ILANI: Picha ya mhusika na jina vimeondolewa kumlinda mtoto.
Sahihi kabisa wala si ajabu kuwa na huo mwili, kwani miaka 16 analingana na miaka 18 siku hizihakika, ndio maana unakuta mtoto mdogo ana presha, ugonjwa wa moyo,.... n.k
AminaAbsolutely mkuu, Its illegal to publish any information or photographs that could lead to the identification of a child involved in any matter before the court.
Duh! kupigania haki za mtoto siku hizi ni feminism? mwamba yuko sahihi mkuu, huwezi kusambaza picha ya teenager bila idhini, msala ukikuangukia wewe unageuka funzo na utaishia kulialia mbona wengine bla bla bla...Mkuu Wacha utoto. Huyo binti mpaka picha Zake na video Zake za ngono watu wanazo zimejaa mtandaoni. Kuna siku aliwahi kuongia Insta live akaanza kusagana na binti mwenzake live uchi wa mnyama kila mtu anazo. U feminist hautakupeleka popote my brother achana hiyo life style. Ni miyeyusho