Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
- Thread starter
-
- #21
Miaka 15 ni mdada kabisa tena mwenye ex boyfriend. FYIKumbe wanampa.
Umri huo mtoto wako kukushinda mzazi utakuwa na matatizo.
Umri huo Bado nipo Kwa dingi.
Amri ilikuwa Moja mwisho kurudi nyumbani saa 12 jioni.
Ukizidisha utakiona Cha mtema kuni.
Kasome Jurisprudence. Hiyo legislation uliyo recite ni ya kpuuzi kupita maelezo. Kijana mwenye miaka 17 akimnajisi mtoto mwenye miezi mitatu anafungwa kifungo cha nje mwaka mmoja au miwili na faini ya laki mbili. Kisa? Eti miaka 17 bado ni mtoto kisheria. Upumbavu mtupu. Meanwhile kijana wa miaka 19 akimpa mimba binti wa miaka 17 anafungwa maisha eti amebaka. Upumbavu mtupu. Eti inasema maamuzi ya kisheria yanayo husu mtoto yazingatie maslahi mapana ya mtoto. Kati ya binti wa miaka 17 kijana wa miaka 19 na mtoto wao mwenye mwezi mmoja, ni na ni mtoto zaidi Kati Yao? Ni nani ambae sheria inatakiwa kuzingatia maslahi yake? Je ni kwa maslahi ya mtoto kumfunga baba ake?Kaka sheria inakataza soma
The Law of the Child Act, 2009 [Cap. 13 R.E. 2019] section 33 (1 ).
Utu Gani unazungumzia hapoMkuu Binti kashapatikana Utu wake utunzwe huyu ni mtoto.
Nashkuru Picha imeshushwa, Hoja zako na misingi yako zisiingilie uhuru na haki za wengine, let's be positive and humanly, ukija kuwa Mzazi utaelewa tunachokipambania.Kasome Jurisprudence. Hiyo legislation uliyo recite ni ya kpuuzi kupita maelezo. Kijana mwenye miaka 17 akimnajisi mtoto mwenye miezi mitatu anafungwa kifungo cha nje mwaka mmoja au miwili na faini ya laki mbili. Kisa? Eti miaka 17 bado ni mtoto kisheria. Upumbavu mtupu. Meanwhile kijana wa miaka 19 akimpa mimba binti wa miaka 17 anafungwa maisha eti amebaka. Upumbavu mtupu. Eti inasema maamuzi ya kisheria yanayo husu mtoto yazingatie maslahi mapana ya mtoto. Kati ya binti wa miaka 17 kijana wa miaka 19 na mtoto wao mwenye mwezi mmoja, ni na ni mtoto zaidi Kati Yao? Ni nani ambae sheria inatakiwa kuzingatia maslahi yake? Je ni kwa maslahi ya mtoto kumfunga baba ake?
kKati ya kijana mwenye miaka 17 alie mnajisi mtoto wa miezi mitatu vs kijana wa miaka 19 alie mpa mimba binti wa miama 17 ni nani anae stahili kufungwa miaka 30.
Mimi sio mwanasheria Ila Nina bachelor na ninapenda sana kusoma vitabu. Nilopokuwa chuo nilisoma kuhusu JURISPRUDENCE..
HUPASWI KUTAFSIRI SHERIA KAMA ZILIVYO ANDIKWA. UNAPASWA KUTAFSIRI SHERIA KAMA ZINAVYO TAKIWA KUWA
Empty Container, Hollow Head.Utu Gani unazungumzia hapo
Umeona picha zake tofauti na hiyo ?
Picha hiyo ni decent ukifananisha na zile nyingine
Ukiona muonekano wake jinsi alivyo ni tofauti na umri wakeDuh mdogo sana
Mnoo lo
Mateja wa Mabibo na Manzese hata kusoma na kuandika hawajui. Wamesoma English Medium zipi?Ni mtoto wa kishua kwao Mwanza. Ndio hawa LIKUD anawazungumziaga, watoto wa EMS . English Mediums zina waharibu
Mavyakula ya sikuhizi watoto wanaumuka sana, kwani tiffa wa dangote ana umri gani?Ukiona muonekano wake jinsi alivyo ni tofauti na umri wake
Huyo ni Human right activist, na ndugu ndio wamempa ruhusa ya kuanika hiyo picha ili kumpata muhusika, sasa sio kila mtu ataisambaza bila idhini ya wazazi wa muhusika!Kwann Mods wametoa picha? Mbona Malisa IG bado ipo?
View attachment 3600810
Mungu alishamaliza kazi, mwacheni apumzike wanaoamua kumwabudu wafanye hivyo, siyo kumpa kazi za ku deal na walevi .Kadogo hivyo kimeingia kwenye uraibu duuh, M/Mungu amuokoe
Nyie ndiyo mnaleta haya majanga. Ati utu, kwani kuoneshwa na hicho anachokifanya kipi kinaondoa utu wake?Mkuu Binti kashapatikana Utu wake utunzwe huyu ni mtoto.