Binti wa miaka 15 mwenye uraibu wa dawa za kulevya

Nyie ndiyo mnaleta haya majanga. Ati utu, kwani kuoneshwa na hicho anachokifanya kipi kinaondoa utu wake?
Uko sahihi kwa mawazo yako, ila sheria ni sheria lazima ifatwe au ivunjwe with consequences.
 
Wazungu wametuletea utamaduni kwamba mtoto asipigwe sio shule sio madrasa. Wakati uislam na uafrika unataka mtoto umnyoshe kwa bakora mpaka akae sawa. Haya ndio madhara yake
 
Mungu alishamaliza kazi, mwacheni apumzike wanaoamua kumwabudu wafanye hivyo, siyo kumpa kazi za ku deal na walevi .
Kama unajiona umekamilika unakosea sana

M/Mungu ana uwezo wa kumbadilisha huyo binti akawa msichana mzuri na akaacha hayo madawa na akakubadilisha wewe pia ukaingia kwenye hayo madawa na ukawa hautamaniki so usijione mkamilifu.. Mkuu
 
Hizo rehabilitation centers ni mpaka mraibu mwenyewe aamue kuacha ndiyo anapelekwa huko kupata usaidizi,km hajaamua ni kupoteza muda tu.

Halafu huyo binti inaelezwa siyo uraibu wa dawa,ni malaya anauzwa kwenye danguro moja na watoto wengine.
Hiyo nimeona pia kwenye komenti. But kama hilo danguro linajulikana kwanini wahusika wasikamatwe? Kuna mtu AME komenti kwamba kuna siku aliingia Instagram bay TikTok live akawa anasagana live na mtoto mwenzake
 
Kinachoshangaza alifanya insta live na mwenziwe(ke) wakiwa wanafanya uchafu, kwa ule ujasiri hauendani na hii miaka 15.

Pole sana kwa familia yake, wanahitajika wafanye kazi ya ziada kumkomboa binti yao na maisha ya kuiga(umarekani+usinza).

Wazazi na walezi jitahidini kulinda vizazi vyenu, epukeni na malezi ya uzungu mwingi mnaharibu watoto wenyewe.

#Hallelujah
 
Nashkuru Picha imeshushwa, Hoja zako na misingi yako zisiingilie uhuru na haki za wengine, let's be positive and humanly, ukija kuwa Mzazi utaelewa tunachokipambania.
Mkuu Wacha utoto. Huyo binti mpaka picha Zake na video Zake za ngono watu wanazo zimejaa mtandaoni. Kuna siku aliwahi kuongia Insta live akaanza kusagana na binti mwenzake live uchi wa mnyama kila mtu anazo. U feminist hautakupeleka popote my brother achana hiyo life style. Ni miyeyusho
 
Wazazi wanataka watoto wawe kama wazungu ndio matokeo yake hayo. Ndio maana LIKUD huwa anaziponda sana shule za EMS kuna namna zinawafanya watoto kuwa wajinga wajinga.. Toto la kiume la miaka 12 linajilegeza Saudi linaita eti * Daddy" " Mommy"
 
Wazazi wanataka watoto wawe kama wazungu ndio matokeo yake hayo. Ndio maana LIKUD huwa anaziponda sana shule za EMS kuna namna zinawafanya watoto kuwa wajinga wajinga.. Toto la kiume la miaka 12 linajilegeza Saudi linaita eti * Daddy" " Mommy"
Havina uhusiano. Kama una uwezo wa kuzalisha basi tena mate chini. Ulezi hauna ujuaji.
 
amesema tu URAIBU ila hajasema uraibu wa nini
 
Sasa bila picha angepatikana vipi? Maadam sio ubakaji sioni issue kubwa kama ni picha jnayoonesha sura
 
Absolutely mkuu, Its illegal to publish any information or photographs that could lead to the identification of a child involved in any matter before the court.
Amina
 
Duh! kupigania haki za mtoto siku hizi ni feminism? mwamba yuko sahihi mkuu, huwezi kusambaza picha ya teenager bila idhini, msala ukikuangukia wewe unageuka funzo na utaishia kulialia mbona wengine bla bla bla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…