Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

1747561570524.jpg
☺️☺️🤣
 
coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe.
Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine.

Bikra Matter
Mi nadhani akili na utu wa mwanamke ndio kitu chakwanza muhimu zaidi
Ukioa bikra ni heshima kwako mwanaume lkn akili ndio kitu muhimu zaidi Kuna mwanamke unakuta katunza bikra lkn sio kwasababu ya akili zake ila ni kwajuhudi za wazazi hasa zile familia za wazazi watemi harafu gate Kali au mwingine katunza bikra coz ya hofu labda aliwahi kuona mama au dada yake akinyanyaswa na mwanaume tokea hapo kachukulia mahusianao kama kitu kibaya.
Note:
Mwanamke bikra pia anaweza kuwa na changamoto zake mfano mchawi ,mwizi,wivu mbaya nk

Pia nawapongeza wanaume wote mliofanikiwa kuoa mabikra wanaojitambua ambao wako vizur kichwani waliotunza bikra zao kama ahadi ya kuwawekeni nyie mtakao waoa 👏👏👏👏
 
Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa hazijasoma kilometer nyingi ila ni walewale tu. Nasema hivyo wakuu Kwa sababu zifuatazo.

katika harakati za kufanya vitu Kwa kuzingatia ubora nikaona niitafute mwanamke bikra na kweli nilifanikiwa kupata kitu new kabisa hakijaguswa kabisa hata maziwa(chuchu) zake zilikuwa zimesimama ileile yani Kama akikukumbatia Kwa nyuma hivi basi chuchu zake lazima zitakuchomachoma mgongoni vijana wanasema chuchu saa sita.

Tumeenda vizuri na tupo vizuri ila Kuna maswali ambayo amekuwa akiniuliza naona kabisa soon naenda kumkosa(tutaachana) kwa sababu huwa sivumilii mwanamke aki-cheat.

Maswali hayo ni haya.

1. Hivi wanaume wote ni watamu Kama wewe (hii ni red flag Kwa sababu anashahuku ya kujua na ili apate majibu ni lazima acheat sijajua nani kamfundisha kuwa Kuna wanaume watamu na wachachu/wakali).

2. Hivi wanaume wote wana uume mkubwa Kama wako (sijajua uume Mdogo aliuona wapi. Kwangu Mimi naona ni red flag sijui kwenu wakuu).

3. Hivi Kama nikilala na mwanaume mwingine unaweza kugundua/kuona utofauti kwenye sehemu zangu nyeti (hapa tulikuwa tunapiga story kuhusu kuchepuka Kuna jirani alikuwa anapigwa kisa kachepuka hii pia naona ni red flag sijui kwenu wakuu).

Sasa kupitia maswali machache hapo juu nahisi atakuwa na maswali mengine mengi zaidi ya hayo so naona kabisa anashahuku ya kupata majibu na majibu ili yapatikane ni lazima acheat so soon nagongewa wakuu na naona kabisa haliepukiki hili sio kwamba hatosheki naona anaudadisi wa kimalayamalaya .

Hivyo basi wazee me naona tuoe tu hata Kama sio bikra kwani bikra sio ndoa na ndoa sio bikra. Hasahasa hawa bikra wa miaka hii ni malayamalaya yani wana mawazo ya kimalaya malaya hivi.
 
Duh,,siyo kwa hayo maswali
 
Hakuna uhusiano kati ya Bikira na wife material, Bikira ni mapenzi material
 
Mimi nilipata bikra akiwa na miaka 23 tena akiwa chuo mwaka wa tatu,

Ila aliyonifanyia yule mwanamke ni Zaidi ya Yale ambayo Malaya asingeweza kunifanyia.

Nimedumu nae miaka miwili
Ila naweza kusema yeye ndio ameharibu maisha yangu 70%

Kuna kipindi nilipeleka barua ya uchumba kwao..
Mama yake na baba yake wakasema kwakuwa amemkuta bikra basi atoe 5m kama mahari...

Mwanamke alikuwa na jeuri
Kiburi
Ujuaji
Ubishi
Gundu
Kutoa ushauri wa kipumbafu ambao mpaka Leo najuta.

Alinifanya nikapoteza watu muhimu sana kwenye maisha yangu..

Kifupi sio kweli kwamba bikra anaweza kuwa mwema sana ila nashauri kuoa bikra kwasababu Kuna issue za maumbile na nguvu huwezi angaika nazo

Kifupi mama yake binti binti MWENYEWE na baba yake walikuwa waswahili sana

Binti kila siku alikuwa ananisimanga kwasababu ya Hali ya uchumi..

Sijui nikuambiejee ila naomba nikuambie mtu kuwa bikra sio kipimo Cha uelevu hekima na utiii

Haya Sasa nimemtoa bikra sijui mtu mwingine akitaka kumuoa watasema ametombwa na mtu mmoja tu au vipi ...

Mana bint alisema tunaachana ila mwaume atakae nipata atakuta sijatumika sana...nikasema nishakuchokonoa Thamani Yako hakuna tena mbwa wewe..

Kifupi najivunia kumtoa bikra mana atapunguza kamdomo yeye na familia yake.
 
coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe.
Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine.

Bikra Matter
Huyo unayetaka aoe bikra na yeye bikra?
 
hivi robot la Jf haliwezi ku screen maneno machafu ya lugha ya kiswahili?
Naona watu wanajiandikia malugha ya ajabu ajabu na wanatamba nayo.
 
Back
Top Bottom