Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Hujajibu swali langu mkuu..pesa inapatikanaje?
Yani ukishaingia huko na ukakidhi masharti yao baadaye unaambiwa kaanzishe kitu chochote kama kibiashara ,kanisa au chochote atashangaa mafanikio yake yanakuw sio ya nchi hii
 
Hawa ndio wana take advantage ya ujinga wa waumini wao and make money out of them!!! He is a wanted man in South Africa. Ana wafuasi wengi tu hata Tanzania!!! Wanawake wanampenda sana!!! Wadangaji wengi ni wafuasi wa nabii huyu kijana.
Iko hivi,hapa hakuna maswala ya advantage ya ujinga kama unavyosema,ukiwa mfano,Mkatoliki,Mluteri,Muanglikana n.k au dhehebu ambalo liko chini ya Taasisi moja kama hayo,sadaka,shukurani,zaka n.k vyote vinaingia kwenya account ya hiyo Taasisi,sasa kinachotokea kwa hawa wengine ni kuwa kanisa alielianzisha ni yeye,na pesa yote inaingia kwenye account yake,kwanini tu asiwe millionaire? kwahiyo sio swala la utapeli,unatoa pesa mwenyewe kwa hiari yako,kadri imani yako inavyokutuma,hakuna anaelazimishwa wala kutumika uganga wa kienyeji hapo...
 
Hawa ndio wana take advantage ya ujinga wa waumini wao and make money out of them!!! He is a wanted man in South Africa. Ana wafuasi wengi tu hata Tanzania!!! Wanawake wanampenda sana!!! Wadangaji wengi ni wafuasi wa nabii huyu kijana.
kweli kbsa
 
Bado umefungwa ndugu
Baada ya ufufuo wa Yesu imebaki sadaka moja tu nayo kuipeleka injili

Fungu la kumi halipo
 
Mkuu naona Bulesi uliyemquote hujampinga, zaidi umejazia tu nyama kwenye hoja yake.
 
Huyu atawamaliza wote...

Jamani usiombe kuwa na ndugu mtoa kafara[emoji24][emoji24]

Niulizeni mimi

Btw mkishamgundua inabidi mmalize yeye kabla hajawaua wote, na mazoea ya kula vitu vyake uache, sijui kumtembelea umeishaa[emoji848]
Pole yako hao watu hawana huruma hawajui unategemewa na watoto mda mwingne wazazi, bora mlimueliminate kwa usalama wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…