Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]
Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]
NB
Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi huwa nikisikia mlokole sitaki mazoea nae
Nakaa nao mbali
Ofisini tuna kundi la waumini wa clear malisa yani wamedata wale watu huwa nawatazama mambo yao nasema hiiii in magus voice
Kwanza wanatuona sisi ambao hatusali nao kama mapepo wadhambi sana aisee