Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Huyu bushiri alikuwa kinara wa makafara ya ngono alikuwa anabadilisha warembo ka nguo ikiwemo na Hilo kanisa lake la Tanzania, na wadada walikuwa wanamkimbilia mno
Ni wakati wa kula fundo sasa
 
Utashangaa kuona 100% ya watu wanaoandika hapa, hawajawahi kumuona huyu Bushiri hata ana kwa ana. Yote wanayoandika ni tetesi alizosikia mtaani au kusoma. Binadamu wanapenda kuhukumu mtu hata kama hawamfahamu.
 
Walokole wajinga ni wale hawasomi neno la Mungu na biblia na wao hupenda miujiza na kuzunguka kwa manabii uchwara, kutwa kuombea wengine mabaya waharibikiwe, dah ofisini nikikumbuka nilivochongewa na mlokole jina Sina hamu

Pole my dear[emoji28]
 
Miye jirani yangu mlokole basi akiwaona watoto anawaomba waende nae kanisani.
Yaani nilimwendea miguu juu hata sahau, mpk leo anajiulizaga natumia cha Mgeta au cha matombo.
 
Miye jirani yangu mlokole basi akiwaona watoto anawaomba waende nae kanisani.
Yaani nilimwendea miguu juu hata sahau, mpk leo anajiulizaga natumia cha Mgeta au cha matombo.

[emoji23][emoji119]
 
Hawa ndio wana take advantage ya ujinga wa waumini wao and make money out of them!!! He is a wanted man in South Africa. Ana wafuasi wengi tu hata Tanzania!!! Wanawake wanampenda sana!!! Wadangaji wengi ni wafuasi wa nabii huyu kijana.
Mdogo wangu wa kike yeye na mume wake huwaambii kitu kuhusu huyu nabii
 
1 Yohana 4:1
[1]Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
 
Go deeper papaaa [emoji23][emoji23] dah nimejikuta nacheka tu. Waafrika bado tuna safari ndefu mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu acha tu it's like we've been brainwashed
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu acha tu it's like we've been brainwashed

Yani kaenda kwenye galery fasta , kabofya halafu anasema kampiga picha mtoto [emoji23]. Na waumini wake wanashangilia mpaka wanalia [emoji3]. Kwa huu upotoshaji mbingu ataisikia tu asipotubu na kubadilika. Katapeli watu wazi wazi aisee. Yani huyu na yule Alph Lukau huhitaji darubini kujua kuwa ni manabii wa uongo. Alph Lukau alifufua mtu na marehemu alipofufuka aligonga menu ibadani akiwa humo humo kanisani [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]. Mbinguni mbali jamani, tukaze mwendo ili tufike [emoji2210] [emoji2210]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisa. SAA nyingine naonaga ni Bora hata ma Rastafarians
 
Miye jirani yangu mlokole basi akiwaona watoto anawaomba waende nae kanisani.
Yaani nilimwendea miguu juu hata sahau, mpk leo anajiulizaga natumia cha Mgeta au cha matombo.
😀😁😀😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Mwanae kaugua kaitafuta sibitari sasa wewe mlokole wa kuchovya unataka uende ukaombewe na mchungaji bushiri....

Hawa wachungaji hawa kuna mmoja nilimsikia tibisii anasema ukitembea ukajikwaa ushavagaa pepo la kufungwa 😂😂😂....

.... Nafikiri unapaswa uielewe dini inataka nini sio kuifuata tu....
 
Back
Top Bottom