Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Kwahiyo hapo Freemasion wamechukua sadaka yao?Huyu binti kwenye birthday yake mwaka juzi alinunuliwa gari ya kifahari mno...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hapo Freemasion wamechukua sadaka yao?Huyu binti kwenye birthday yake mwaka juzi alinunuliwa gari ya kifahari mno...
SatanismKwahiyo hapo Freemasion wamechukua sadaka yao?
ahaaaa!!!Walokole nikiwa raisi watafute pakwenda siwezi kuongoza raia waliobeba vichwa vya kufugia nywele na kuvaa mawigi.
Wewe huoni kama una laana kwa kuongea vitu usivyo na uhakika navyo,kama unasoma biblia kasome kisa cha Daudi na Ayubu waliofiwa na watoto halafu utuambie walikuwa watumishi wa Mungu au la na je hawa nao walitoa kafara au yalikuwa majaribu yanayowakumba binadamu wote.Unaambiwa ukitaja tu hivo utapigwa laana kali
Mi ndo jana nimeambiwa hivo eti tayari nimeshapigwa laana[emoji16]
Ila walokole mmh
Ndio ulikua usanii mtupu mi nikaenda pale mbele naona kibakuli, kanipaka hapo usoni mafuta ya upako nikachovya kidole nikaonjaNdio maana nasema inategemea na mtu anayatumia vipi kuna olive oil za kawaida na zingine zinakuwa zimeombewa kwa ajili ya muktadha maalum either kwa maombezi ama wwngine ndio wanafanyia mambo yao
Harafu akiwa church “anaprofesaizi” waumini wanapayuka “go dipaaa papaaa”mtoto wa nabii anakufa tena kwa ugonjwa? kweli wajinga ndio waliwao...
Mungu hatupi vitu vinavyofanana.Ndio maana kuna mfupi, mrefu,mweusi, mweupe,mnene, mwembamba,wenye akili nyingi na vilaza,wote ni wa Mungu.Nasema ni ujinga wao, kama hao wazee ni wacha Mungu wa kweli walishindwaje kung'amua kuwa jamaa ni mpigaji tu?
Haihitaji digrii kuutambua uongo wa watu hawa.
Ukipigwa jilaumu mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivi kumbe yanaliwaga yale mafuta?Ndio ulikua usanii mtupu mi nikaenda pale mbele naona kibakuli, kanipaka hapo usoni mafuta ya upako nikachovya kidole nikaonja
Ilikua oliver oil ya kawaida tu,kajaribu kusukuma nidondoke wapi nikawa ngangari, mpk mwisho akaita mwingine
sisi hatupingi yeye kuja kufa tunaomba amfufue kijana wake yeye kufa ni jambo jingine kwanza amfufue kijana maana amekuwa akijinasibu kufufua watuHata baadhi ya mitume walifufua watu, lakini nao walikuja kufa... Sio issue mpya na wala haimfanyi mtu asiwe mtumishi wa Mungu. Simtetei Bushiri kama ni mtumishi wa Mungu au la, anayejua ni yule anayedai anamtumikia.
We ndio una laana mlokole feki...jinga kabisaWewe huoni kama una laana kwa kuongea vitu usivyo na uhakika navyo,kama unasoma biblia kasome kisa cha Daudi na Ayubu waliofiwa na watoto halafu utuambie walikuwa watumishi wa Mungu au la na je hawa nao walitoa kafara au yalikuwa majaribu yanayowakumba binadamu wote.
Wale ni zaidi ya misukuleHHaaaaaa walokole km wehu aseeeh!wanaamini kibubusa sana
Sasa kwa umri huo hiyo Gari ya kazi gani?Prophet Bushiri Buys 4-Year-Old Daughter a U.S.$414,000 Maserati
Hiki kifo Bushiri anaweza kutuhumiwa kafaraView attachment 1740838
Daaah Siyo story za April Fool kweli!!Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha Serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokuwa inamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo kusababisha mtoto huyo kuchelewa kupata matibabu, kitendo ambacho madaktari wanasema kinawezekana kuwa kimesababisha kifo chake. RIP.
Source BBC
View attachment 1740432View attachment 1740435
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]
Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]
NB
Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe
Yeah hypotize ni balaa. Nakumbuka Movie Get Out.Kupumbaza watu kwa kiingereza inaitwa "Hypnotize" Huu ni uchawi wanaoutumia manabii wengi. Yaani ukifanya kosa ukaingia kanisani kwake au kwenye makongamano yake basi umekwishaa.Akili yako yote inapumbazwa na unajikuta unakubali kila anachosema au kuagiza. Ni uchawi wa ya juu sana ndio anaoutumia sana TB Joshua. Hata ukiangalia sana video zake za mahubiri lazma akuteke akili.
Shetani anaweza kukupa hela. Unajua chuma ulete. Inatolewa kwa mwingine unaletewa weweHujajibu swali langu mkuu..pesa inapatikanaje?