Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Matapeli tu kama Matapeli wengine, kinachowababaisha Watu ni huko kutumia jina la Mungu kwenye utapeli wao.Huyu si ndo anaefufua watu hadharani?
Yeah ndio hilo hilo, hata Bushiri mwenyewe amelipost hilo kanisa lake na kuwashukuru kwa maombiNdo lile la Mutalemwa sijui apostle
Usiombe ukutane na mwanamke kapigwa tukio na mumewe halafu kaaminishwa na baba wa kiroho kwamba mumewe atarudi kwa sadaka tu...weeh hata umwambie nini hela zote atazimalizia kwa babaIla ukiwa huko husikii la mtu .... miujiza ndio inayopumbaza na kufanya uwaamini hawa watu kila wasemacho ili mradi kuna ka mstari cha biblia kanasindikiza hoja. Ila ni hatari sana hasa kwa roho changa!
Shangaa na wewe bwana hakimu😄😄😄!Huyu si ndo anaefufua watu hadharani?
Muda umefika unataka hela au mtoto? Akachagua hela.yawezekana kbs asee, lucifer mshenz sana
Halafu huyo mlokole ulizia background yake utajua why ana behave hivo.....Katika watu waliochanganyikiwa ni hawa wanaojiita walokole.
Huyu masanja ndio bushiri ajayeWengi wanaojiita au kujibatiza watumishi wa Mungu duniani ni walozi
Huyu mtoto amekatishwa uhai kwa tamaa na dhambi za wazazi wake
Wengi hushiriki nguvu za giza Wanatumia jina la Mungu kujitajirisha kwa njia zisizo halali
Watumishi wa shetani mshahara wao ni huu
Kafara zingine wajameni
Tubakie na makanisa Lutheran Anglican Catholic haya ndio makanisa
Makanisa ya watu binafsi ni utapeli mtupu period.
Kina masanja wana jambo la kujifunza
Mungu wa Kweli Akurehemu Mtoto upate Pumziko la Milele!
Biashara hizi,so kununua gari Us $ 414,000 kwa huyu mtoto mzuri hivi alitegemea kurudisha kiasi gani yani Us $ 1mil??,haya mambo Kama yanafanyika kweli?,they need to be stoppedProphet Bushiri Buys 4-Year-Old Daughter a U.S.$414,000 Maserati
Hiki kifo Bushiri anaweza kutuhumiwa kafaraView attachment 1740838
Aseeeh!!daahProphet Bushiri Buys 4-Year-Old Daughter a U.S.$414,000 Maserati
Hiki kifo Bushiri anaweza kutuhumiwa kafaraView attachment 1740838
HHaaaaaa walokole km wehu aseeeh!wanaamini kibubusa sanaJana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]
Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]
NB
Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe