Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Kibaya zaidi huwa nahisi anawaloga kwanza na magic power from Nigeria..

Hao congregates wake waliambiwa watoe mamimilioni wainvest ili waje watajirike, yy akachukua zile hela akaweka kwenye mamiradi yake ya madini, na real estate, wanalia vilio vya kusaga na meno...

Bado kuwalipisha hela za kula nae dinner khaa
Kupumbaza watu kwa kiingereza inaitwa "Hypnotize" Huu ni uchawi wanaoutumia manabii wengi. Yaani ukifanya kosa ukaingia kanisani kwake au kwenye makongamano yake basi umekwishaa.Akili yako yote inapumbazwa na unajikuta unakubali kila anachosema au kuagiza. Ni uchawi wa ya juu sana ndio anaoutumia sana TB Joshua. Hata ukiangalia sana video zake za mahubiri lazma akuteke akili.
 
Duuh sasa mtu kama huyu unamsaidiaje?
 
Watu huwa wanatoa kafara za binadamu ili iweje?..wapate pesa bila kufanya lolote au?..sijawahi kuelewa

Kama ndo hivyo mbona watoa kafara za binadamu wangekuwa wengi sana..sio kwa maisha haya.
 
Kuwaelewa wachungaji wa Africa kazi sana
Huyu jamaa nilionana nae anawapaka watu oliver oil anadai mafuta ya upako na watu wanaanguka kabisa. Kuja kucheck ni olive oil original.
Aah nikaachana na mahubiri yao, nilikua hapo kwa kazi ingine anyway.
Pole kwa msiba Mchungaji 🙏
 
Huyu jamaa nilionana nae anawapaka watu oliver oil anadai mafuta ya upako na watu wanaanguka kabisa. Kuja kucheck ni olive oil original.
Aah nikaachana na mahubiri yao, nilikua hapo kwa kazi ingine anyway.
Pole kwa msiba Mchungaji [emoji120]
Mafuta ya upako mara nyingi ni olive oil inategemea tu na mtu anayatumia vipi
 
Yalikua ni hayo na alikua nayo kwenye kibakuli, watu walikua wengi sana mle kanisani na walipigwa dola 100+ kuja mle kila mtu.
 
Huyu nabii ana drama nyingi sana
 
Yalikua ni hayo na alikua nayo kwenye kibakuli, watu walikua wengi sana mle kanisani na walipigwa dola 100+ kuja mle kila mtu.
Ndio maana nasema inategemea na mtu anayatumia vipi kuna olive oil za kawaida na zingine zinakuwa zimeombewa kwa ajili ya muktadha maalum either kwa maombezi ama wwngine ndio wanafanyia mambo yao
 
Watu huwa wanatoa kafara za binadamu ili iweje?..wapate pesa bila kufanya lolote au?..sijawahi kuelewa

Kama ndo hivyo mbona watoa kafara za binadamu wangekuwa wengi sana..sio kwa maisha haya.
Inaelekea wewe ni mchanga sana wa ujuzi wa mambo ya kishirikina.Kwa taarifa yako 98% ya vifo hasa ajali ni kafara.Mpango wa Mungu ni watu kuishi hadi uzeeni,ila Mpango wa shetani ni kuiba na kuitumia nguvu kazi ya vijana katika ufalme wake. Kafara zipo sana mkuu
 
Hujajibu swali langu mkuu..pesa inapatikanaje?
 
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]

Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]

NB

Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe
Pole shoga ...watu na baba zao, yaani wengine wako tayari hata kuwakana baba zao wazazi kisa Hawa mababa zao wa kiroho
 
Back
Top Bottom