myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ndio yeye....🤣🤣Huyu si ndo anaefufua watu hadharani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio yeye....🤣🤣Huyu si ndo anaefufua watu hadharani?
Nasikia hapa bongolala ana matawi yake pia .. na Kama yapo bas kuna wauminj vilaza Sana Kama wale wa askofu Rashid anatomba KONDOO na waumin wanaona lakn wanakanusha Sie yeyeKesi inayoendelea sasa Malawi alikokimbilia ni kujadili ombi la Mahakama ya SA kutaka jamaa arudishwe ( Extradited) nchini S.Africa ili akakabiliwe na kesi za utapeli zinamuandama ikiwemo ya kutoroka baada ya kupewa dhamana.Ikumbukwe jamaa alikuwa tayari kawekwa lopango yeye na mke wake.
Lakini alipopewa dhamana kwa masharti ya kutosafiri nje ya mji wa Johannesburg,Jamaa aliweza kutorokea kwao Malawi kimafia bila ya pasipoti wala viza. Kwa hiyo Bushiri yupo kwenye wakati mgumu sana. Huyo Bushiri anayejiita nabii na mtumishi wa Mungu.
Tena tapeli lililokubuhu..Shida kuna watu wakiokoka wanajitoa ufahamu kabisa wa kuwahoji watu wanaojiita watumishi wa Mungu.Ndio maana jamaa wanatumia hiyo advantage kuwapiga kweli kweli! Matendo ya Bushiri yanaonyesha wazi kuwa ni tapeli mkubwa.
Kabisa mkuu.Ila jamaa hata miujiza yake haihitaji akili nyingi kujua km ni tapeli au laana. Kuna muujiza ule anajifanya anatembea hewani yani uongo live kabsa. Upo muujiza mwingine anatumia kemikali ya Permanganate, Glycerin na maji kutengeneza moto aafu anawaambia waumini eti ni moto wa roho mtakatifu kutoka mbinguni.Video ipo Youtube search "Fire from Heaven" [emoji38][emoji28][emoji38][emoji28]Hii ya kuwala waumini ni mojawapo ya makafara ya kuvuta waumini wengi zaidi..manii ndio hutumika zaidi, sasa sometimes hujisahau kikaumana
Imagine[emoji1751]Kesi inayoendelea sasa Malawi alikokimbilia ni kujadili ombi la Mahakama ya SA kutaka jamaa arudishwe ( Extradited) nchini S.Africa ili akakabiliwe na kesi za utapeli zinamuandama ikiwemo ya kutoroka baada ya kupewa dhamana.Ikumbukwe jamaa alikuwa tayari kawekwa lopango yeye na mke wake.
Lakini alipopewa dhamana kwa masharti ya kutosafiri nje ya mji wa Johannesburg,Jamaa aliweza kutorokea kwao Malawi kimafia bila ya pasipoti wala viza. Kwa hiyo Bushiri yupo kwenye wakati mgumu sana. Huyo Bushiri anayejiita nabii na mtumishi wa Mungu.
Aaaaagh wapiVipi hakumfufua?
Amekwisha sasa anatafuta njia ya kurudi hewani... He will never come back againKabisa mkuu.Ila jamaa hata miujiza yake haihitaji akili nyingi kujua km ni tapeli au laana. Kuna muujiza ule anajifanya anatembea hewani yani uongo live kabsa. Upo muujiza mwingine anatumia kemikali ya Permanganate, Glycerin na maji kutengeneza moto aafu anawaambia waumini eti ni moto wa roho mtakatifu kutoka mbinguni.Video ipo Youtube search "Fire from Heaven" [emoji38][emoji28][emoji38][emoji28]
Hata Yesu hakufufua wafu woteHata baadhi ya mitume walifufua watu, lakini nao walikuja kufa... Sio issue mpya na wala haimfanyi mtu asiwe mtumishi wa Mungu. Simtetei Bushiri kama ni mtumishi wa Mungu au la, anayejua ni yule anayedai anamtumikia.
Ahaaaahaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walokole nikiwa raisi watafute pakwenda siwezi kuongoza raia waliobeba vichwa vya kufugia nywele na kuvaa mawigi.
Yaah hii kesi naijua,ila baadaye alikubali kumtunza mtoto. Alimpa huyo binti pesa, nyumba na gari kwa makubaliano ya kutotangaza au kuongea na waandishi. Ndo ivo lakini siri haifichikiTena tapeli lililokubuhu..
Kuna kademu kamoja teenager alikapiga mimba, akakapa cheque ili kafanye abortion, ile cheque ikabounce bank
( seems fake cheque)
Basi bidada akajifungua unaambiwa mtoto ni copy and paste ya prophet [emoji16][emoji16]
Na mtoto kamkana hataki kusikia hizo habaree
Yule ni MkongomanHuyu si ndo anaefufua watu hadharani?
Anayo ndio Makongo juu huko...huwezi amini vijana wasomi ndio wanamuamini huyu jamaa, mpaka nashangaa hapa ofisiniNasikia hapa bongolala ana matawi yake pia .. na Kama yapo bas kuna wauminj vilaza Sana Kama wale wa askofu Rashid anatomba KONDOO na waumin wanaona lakn wanakanusha Sie yeye
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Kabisa mkuu.Ila jamaa hata miujiza yake haihitaji akili nyingi kujua km ni tapeli au laana. Kuna muujiza ule anajifanya anatembea hewani yani uongo live kabsa. Upo muujiza mwingine anatumia kemikali ya Permanganate, Glycerin na maji kutengeneza moto aafu anawaambia waumini eti ni moto wa roho mtakatifu kutoka mbinguni.Video ipo Youtube search "Fire from Heaven" [emoji38][emoji28][emoji38][emoji28]
Kuna wakati akili ya Mtanzania inatia mashaka.Jizi kubwa na linaanza kuaibika
Mungu anajua sababu ya kumchukua huyu malaika.Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokua anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokua unamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo kusababisha mtoto huyo kuchelewa kupata matibabu, kitendo ambacho madaktari wanasema kinawezekana kuwa kimesababisha kifo chake. RIP.
Source BBC
View attachment 1740432View attachment 1740435
Kweli kabisa, watu wanabuni kila njia ili kuwin akili za watu upige pesa.Na ndio maisha yalivyo [emoji3][emoji3]
Sishangai kwa wasomi kijiunga kwenye utapeli huo s unaona Q NET na nyingnezo graduate ndio wamejaa humo kaz yao kubadili masaaa kuwa ASUBUHI mda wote haijalishi giza Totoro au jua Kali la saa nane wao wanabadili tu masaaAnayo ndio makongo huko...huwezi amini vijana wasomi ndio wanamuamini huyu jamaa, mpaka nashangaa hapa ofisini
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]
Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]
NB
Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe
Huwa anakubali private ila matendo sasa ya kumtunza mtoto ndo hatimizi...hatoagi pesa yy ni bahili wa kutupwa, huyo dada kashamshtaki mara kadhaa, ila ndo hivo kesi zinatupwa hukooYaah hii kesi naijua,ila baadaye alikubali kumtunza mtoto. Alimpa huyo binti pesa, nyumba na gari kwa makubaliano ya kutotangaza au kuongea na waandishi. Ndo ivo lakini siri haifichiki
HaahaahaaKuna wakati akili ya Mtanzania inatia mashaka.
Hivi ni nani hufanya kazi bure kuhudumia watu bila kupata faida?
Huyu anakula madhabahuni kwake, ukiona wivu fungua la kwako.