Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Pole kwake kwa msiba wa Binti bado mdogo sana huyu, Pumziko La Amani Apate.
 
Ila ukiwa huko husikii la mtu .... miujiza ndio inayopumbaza na kufanya uwaamini hawa watu kila wasemacho ili mradi kuna ka mstari cha biblia kanasindikiza hoja. Ila ni hatari sana hasa kwa roho changa!
Usiombe ukutane na mwanamke kapigwa tukio na mumewe halafu kaaminishwa na baba wa kiroho kwamba mumewe atarudi kwa sadaka tu...weeh hata umwambie nini hela zote atazimalizia kwa baba
 
Wengi wanaojiita au kujibatiza watumishi wa Mungu duniani ni walozi
Huyu mtoto amekatishwa uhai kwa tamaa na dhambi za wazazi wake
Wengi hushiriki nguvu za giza Wanatumia jina la Mungu kujitajirisha kwa njia zisizo halali
Watumishi wa shetani mshahara wao ni huu
Kafara zingine wajameni

Tubakie na makanisa Lutheran Anglican Catholic haya ndio makanisa
Makanisa ya watu binafsi ni utapeli mtupu period.
Kina masanja wana jambo la kujifunza

Mungu wa Kweli Akurehemu Mtoto upate Pumziko la Milele!
 
Kuna bibie kaacha kazi kabisa eti anamtumikia bwana wake wa mbinguni.
Alifiwa na Mama yake anakataza ndugu wasilie eti Mama yake kaenda kwa bwana kupumzika.
Muda wa arobaini kumaliza msiba hakuja eti washangilie sbb mama yake kapaa mawinguni.
Limesoma lin mambo yake afadhali darasa la pili huko koromije.
 
Wengi wanaojiita au kujibatiza watumishi wa Mungu duniani ni walozi
Huyu mtoto amekatishwa uhai kwa tamaa na dhambi za wazazi wake
Wengi hushiriki nguvu za giza Wanatumia jina la Mungu kujitajirisha kwa njia zisizo halali
Watumishi wa shetani mshahara wao ni huu
Kafara zingine wajameni

Tubakie na makanisa Lutheran Anglican Catholic haya ndio makanisa
Makanisa ya watu binafsi ni utapeli mtupu period.
Kina masanja wana jambo la kujifunza

Mungu wa Kweli Akurehemu Mtoto upate Pumziko la Milele!
Huyu masanja ndio bushiri ajaye
 
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]

Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]

NB

Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe
HHaaaaaa walokole km wehu aseeeh!wanaamini kibubusa sana
 
mawazo ya watu masikini ni ushetani tu! Tajiri akipata msiba ni kafara?
"Umasikini ni nusu ya ukafiri"
 
Back
Top Bottom