Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

Shukra mkuu ujumbe wako utawafikia waTZ wa kutosha waliolala usingizi fofofo ambao kuamka kwake mpaka Yesu arudi
 
issue hapa ni ufisadi..........hakuna uzalishaji nchi hii wa kuwa na matumizi kufuru namna hiyo.................
 
Very guuud

Atakuwa anapata elimu nzuri aje kusadia TAIFA LAKE TAnzania

Usituongezee mafisadi plz...hawa bado hatujawang'oa wewe unataka aje na huyu mtoto wa nyoka.......................
 

Mkuu haya mambo yanawezekana Tanzania. Lakini kwa nchi zilizoendelea, kiongozi akimpeleka mtoto wake kwenda kusona kwenye private school, badala ya public school ambazo zipo kwa ajili ya wate, ni kashfa.

Ruth Kelly named as Labour minister sending a child to private school | News
 

Weka ushahidi kuonyesha huyo msichana ni mtoto wa Rostam Aziz na kweli anasoma hiyo shule.
 
Weka ushahidi kuonyesha huyo msichana ni mtoto wa Rostam Aziz na kweli anasoma hiyo shule.

This is not personal attack na I'm very sorry kama ikionekana hivyo kwa kuwa nia haikuwa hiyo. Mimi nadhani and this is my very honest opinion kwamba tuwe makini sana tunapochagua avatar. Bado halijathibitishwa hili kisayansi kwa kuwa studies hazijafanyika bado lakini kuna link kubwa sana kati ya yale tunayocomment na avatars zetu. Niko mbioni kuifanya hii study niko busy kwasasa natafuta funds.
 
YEah sure mkulu
 
Nawashangaa watu mnachokonoa maisha ya watu badala ya nyie kutafuta hela muwasomeshe watoto wenu shule za bei gali!!

Mi kila nikipiga dili za magumashi zinajamba
Hongera mzazi kwa kumsomesha mtoto shule nzuri
Huyu miaka ijayo akirudi bongo hakosi uwaziri hata ubunge wa viti maalumu.
 
Sijaelewa huyu alieandika RA anamiliki Clouds Fm, hizi habari sijui ameziokota wapi?
 
Registartion fee(2000) + Annual boarding and Academic fees(94,500) + Other service charges(17,900) = TOTAL( CHF 114,400), equiv $127,207

Hiyo pesa ni nyingi sana.Hata Eton na Harrow ambayo inapeleka wanafunzi wengi Oxbridge awa charge hivyo! Labda kwa sababu Swiss ni tax haven.
 
The best private and expensive schools in UK and US are at maximum of 80G per annum sasa huyu Mtanzania anayefuja mali ya uma anatumia hela zote hizo for one kid education je for 4 kids inakuwaje, haya baba tafuna hela ya waliolala fofofo?
 
It does not matter...

Rostam ana-play role ya U-Baba and there is nothing wrong with that!

Kuna wengine hapa hapa Dar es Salaam wanasomesha watoto wao Shule moja ipo karibu na Mbuyuni au nyingine Masaki au nyingine Isamilo Mwanza and on avarage ada ya hizo shule kwa mwaka (jumla kuu) ni kama TZS 8mil! and yet kuna wengine wanasomesha watoto wao Ununio Primary School ambayo ada kwa Mwaka ni TZS 20,000! See??

Nawatakia mafanikio mema hao mabinti wa Rustom Aziz...
 
Na baada ya muda mfupi atakuwa ni waziri wa mambo fulani au ni gavana wa benki kuu. waache watumalize sisi wakulima, but one day yes.
 
Na baada ya muda mfupi atakuwa ni waziri wa mambo fulani au ni gavana wa benki kuu. waache watumalize sisi wakulima, but one day yes.

hiyo one day yes sijui kama itafika, kila siku one day yes, why not today yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…