swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Ndivyo nilivyoelewa pia. Coz kama angekuwa ni miongoni mwa watoto wake Angemtaja Jina.Nadhani huyo Askari ni mkwe wa huyo Mama.Mama wa huyo mjukuu amayemuhudumia Bibi alikuwa binti wa huyo Bibi ambaye alishatangulia mbele ya haki.
Hi inathibitishwa na maelezo ya Bibi kuwa anawatoto watano walio hai,wawili kati yao anasikia wako Katoro Geita na Wengine watatu hajui walipo.