Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.
Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.
Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!
Namhurumia binti yangu;
1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?
2. Sijui ataathirika vipi kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!
Namsaidiaje huyu wadau?!!!!
Ahsanteni