Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

"Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?!!"

Mkuu we ni mpumbavu na sitatoa mchongo wowote. Hapo ulemavu uko wapi? Je maziwa ya mama yake yamesimama? Je kila mwenye matiti yaliyo"lala" ni mlemavu"
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inan8stua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;
1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?!!
2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
Itakuwa ana asili ya maziwa makubwa, hivyo ilipaswa apate vibrazia vya kubana vzr maziwa yasingelala
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inan8stua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;
1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?!!
2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
Kwanza kwa nini mnaita maziwa badala ya matiti?
 
Hayo maziwa hayajalala.ila anamaziwa makubwa hi utokana na mwili wa mtoto au hormone pia za ukuaji zinakwenda kasi kushinda umri wake

pia muda wa wewe Kama mzazi kuwa naye jiran maana wanaume wakware na wahovyo hudhan ukubwa wa chuchu ndio kukomaa kwa binti

Huna haja ya kujutia nakuona Hal hyo Kama ulemavu hapana hiyo n Hal ya Kawaida Sana katika ukuaji wa mabint zetu

Anza sasa kuandaa braa nzuri zitakazoshikana vilivyo na matiti yake. Umpe ushauri binti yetu namana ya kuvaa hizo nguo

Usiwe nyuma katka malez na kumuachia mkeo ktka hil jukumu hapo utakuwa Kama umemnyanyapaa mtoto wetu

Kila la heri katika malezi ya binti yetu
 
Nashauri mleta mada mnumulie zile brazia quality sio zile brazia za mafungu zitamuondolea kujiamini na kujikubali.

Zaidi ya yote mshukuru Mungu kwa uumbaji wake,maana binti yako sio mgonjwa.
Usiruhusu vijana waanze kummwagia mbegu mapema matiti yatakuwa makubwa kwa kasi ya 6G.
 
Wazazi wengi wanasahau nafasi ya kumjengea mtoto uwezo wa kujiamini.
Haijalishi mtoto anakasoro nyingi za kimaumbile as long as malezi ya nyumbani ya baba na mama amejengewa kujiamini kuwa ni MZURI ALIVYO Wala hakuna atakae mfanya kuwa INFERIOR.
Haijalishi maziwa yamelala kiasi Gani SHE MIGHT BE THE FIRST LADY.
BY THE WAY HUYO MTOTO WALA HANA SHIDA ATAKAA SAWA TU PISI KALI.
Wengi wanakimbilia SURGERY kwa kushindwa kujiamini maumbile yao.
 
Mkuu.. ..nimecheka mpaka nikakaa chini..

Sisi tunaye na Mimi binafsi nilishiriki hospitali mpaka kumkanda na mwiko.wa moto... wapi.. ..

Nimekubali hayo Ni maumbile au urithi.. ..

Na avae bra za kubana Wala hayata onekana.. na msimfanye akajiona yupo tofauti na wenzie..jengeni mazingira ya kumwambia kwamba ile Ni kawaida tu.. azoee na kukubali mapema!

Hakuna Tiba hapo .. ..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
"Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?!!"

Mkuu we ni mpumbavu na sitatoa mchongo wowote. Hapo ulemavu uko wapi? Je maziwa ya mama yake yamesimama? Je kila mwenye matiti yaliyo"lala" ni mlemavu"
Hapo na mimi nimeona Kuna ukakasi, kumuona binti yake kama mlemavu au yeye alitaka awe na chuchu dodo ili azifanyie nini?
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inan8stua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;
1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?!!
2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
Sioni tatizo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tunaita maziwa kwa sababu yanatoa maziwa.
Hapa tunataka solution ya maziwa kuwa makubwa huku binti akiwa mdogo na bado hajaanza kutumika rasmi.
Mambo ya Kiswahili fasaha hayana umuhimu hapa.
Nashindwa kutoa ushauri kwa sababu sijawahi kuona maziwa makubwa. Kama anatoa maziwa mengi wakati ni mtoto na hajazaa hapo naweza kutoa ushauri. Kama ana matiti makubwa pia ushauri unaweza kutolewa. 🤔🤔
 
Mkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Hazingumzii tabia,anaongelea maumbile yake, elwa swali baba sheghele
 
As for me,hiyo ni defence mechanism kwa wakware ule ujinga wa sijui chuchu saa sita hatoupitia so miluzi mitaani itapungua huku akizidi kukomaa kiakili.

Ni hali ya kawaida ya maumbile tu huna haja ya kuwa na wasiwasi sana muhimu endeleeni kumpa nasaha bora kwa sasa akiwa kama bint mdogo.
 
Dawa za wazungu zimeanza kazi
Sasa itakuaje chanjo ni ya kuepuka sana sio kila chanjo untakiwa umdunge mwanao
 
Mpe malezi sahihi, hakikisha ana imani, hofu ya MUNGU na akili ya maisha. Mambo ya matiti, matako waachie watumiaji watakaoleta posa.
 
Back
Top Bottom