Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

Ngoja ni zungumze ivi cjui kama utanielewa ...... angalia mtoto anakula nini utakuja nishukuru ...mabadiliko mengi hasa kwa watoto ni kutokana na aina ya vyakula anavyo kula
 
Hawa watoto huwa wana mambo mengi, mengine ni magumu hata wazazi huwa hawayajui.

Huku mashuleni nako hakuko sawa, baadhi ya waalim nao ni mashetani.

Vinginevyo dawa na chanjo chanjo zilimkataa.

Mtunze binti yako, kuna vi skin body wanavaa ndani vinataiti kifua mpaka tumbo, si zaidi sana akaanza kuvaa hivyo then akaanza kuva brazia akifika darasa la saba.

Pia afanye mazoezi kila ikibidi.

Usihofu, ungekuwa dar ningekuunga na dada wa kumfundisha kuvaa kulinda umbo lake la sasa.
 
Kuna maneno huwa yanasema unapoona mtoto anaanza mapema kuwa na maziwa makubwa umpe mtoto wa kiume wa rika lake ampige nao kidogo kifuani,sijui ufanisi wake au miiko yake anaejua atoe muongozo
Duh!..hii kali
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;

1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?

2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
Ana bahati wengine wanayaongeza artificially.
 
ukisoma breast anatomy saggy breast kwa wengine ndo asili yake yaani yanakuwa yamelala bila hata kuwa na kisababishi.Unaweza pitia makala ya breast anatomy
pia ni vyema ukamuona mtaalamu wa afya
 
Anyway maziwa yatakua na kufikia ukomo wake,na yatawiana na mtoto atakapovyokua na kuongezeka! Tafiti uone kama kwenye uko wenu au wa mama yake kuna mtu aliwahi kuwa na maziwa makubwa!
Lakini niungane na hao waliotoa maoni yao,mwone Gynaecologist atakupa majibu.
 
Hii huwatokea mabinti wanaopenda sana maswala ngono hata kama hawafanyi vitendo hivyo lakini homoni huyakuza zaidi maziwa

Kapo kamoja kapo jirani hapa kapo darasa la sita matiti yameshakuwa malaini mno akivaa t-shirt inayobana hata hayaonekani
 
Mpe malezi sahihi, hakikisha ana imani, hofu ya MUNGU na akili ya maisha. Mambo ya matiti, matako waachie watumiaji watakaoleta posa.
😳 😳 😳
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wakati mimi najiunga Jf zwazwa wa kiwango kama chako alikuwa hana ujasiri wa kucomment na kutuma picha za hovyo kama unavyofanya wewe , shukuru umeikuta Jf iliyochuja mpaka unapata ujasiri wa kupost humu.
Sawa dada usisahau kutoa hiyo pedi maliza p unicheki nikufumue marinda dada
 
Back
Top Bottom