jamani we Mtambuzi ya nini kunirusha roho hivyo mwenzio!?!?!?1 yani umenichomoa kwenye meeting?!?!? itakukosti hii babu
Aisee Mtambuzi utasababisha inbox zetu kwenye PM zijae..watu wanavojua kulinganisha pics/avatar na uhalisia ni balaaHuyu hapa..........
Aisee Mtambuzi utasababisha inbox zetu kwenye PM zijae..watu wanavojua kulinganisha pics/avatar na uhalisia ni balaa
duh,,hii birth day ilikua ya warembo tupu..?
..nimeuliza tu bebii..mzima lkn...Eti umesema.........!!
..nimeuliza tu bebii..mzima lkn...
Uoga muhimu watu8 .Kunguru mwoga huwa anaishi maisha marefuacha uoga wewe Binti Sayuni....