Kama ni mwanaume huna haja ya kufatilia vitu kama hivi, fatilia pesaHUWA NAPATA SHIDA SANA KWA HII CKU YANGU YA KUZALIWA, NIKISEMA NISHEREHEKEE TRH 28 AU TRH 1 MACHI, NAONA KM NAJIDANGANYA. NAOMBA USHAURI WADAU, AU NIWE NAPOTEZEA KWA MIEZI INAYOISHIA NA TRH 28, NA NIKIPOTEZEA INABIDI NIWE NASHEREHEKEA KILA BAADA YA MIAKA MINNE ILI IPATIKANE HYO 29.
KALENDA HII YA KIZUNGU HAINITENDEI HAKI AU NIBADILISHE KALENDA....?
Hongera mkuu, ntakuja kukopa lknPESA ZPO ZA KUTOSHA KK
Mkuu kwa mwanaume kusherekea au kuvikumbuka visikukuu vya namna hii nikupoteza mda tu!!!Kumbe birthday ni kitu muhimu kwa baadhi ya watu, mimi hata sikumbuki kama niliwahi kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa
msikilize miss chagga alichokwambia ww si unataka kukata kekiushauri nenda mahakamani kaape kuwa unataka uzaliwe tarehe unayotaka wewe halafu nenda kabadilishe cheti cha kuzaliwa ili uwe unasherehekea kila mwaka
anataka amwagiwe tope ha ahahaha nikukute unanimwagia topemsikilize miss chagga alichokwambia ww si unataka kukata keki
hahahahh tope na maji na beer aende mahakaman akaape apange tarehe aje tumuwish halaf tukamwagie [emoji23]anataka amwagiwe tope ha ahahaha nikukute unanimwagia tope
ha hahaha mleta mada ukishaapa niambie nikuweke kwenye reminder niende kunywa bia za offerhahahahh tope na maji na beer aende mahakaman akaape apange tarehe aje tumuwish halaf tukamwagie [emoji23]
itasaidia kusheherekeaHAITASAIDIA, TAREHE YANGU NI 29.
hahahhah usinisahau kwenye beer za birthday boyha hahaha mleta mada ukishaapa niambie nikuweke kwenye reminder niende kunywa bia za offer
haya usijali tutajiweka kwenye kamati ya vinywajihahahhah usinisahau kwenye beer za birthday boy
umekuja kutuhalibia tusisherehekee birthday tuache bwana [emoji23] na birthday boyKama ni mwanaume acha tabia hizo za kupenda penda birthday.
Piga kazi tu, hizo waachie wanawake
Hahahaahahahitasaidia kusheherekea
haya usijali tutajiweka kwenye kamati ya vinywaji