Birthday yangu tarehe 29 Feb

Birthday yangu tarehe 29 Feb

realsam

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
289
Reaction score
135
Huwa napata shida sana kwa hii cku yangu ya kuzaliwa, nikisema nisherehekee trh 28 au trh 1 Machi, naona km najidanganya. Naomba ushauri wadau, au niwe napotezea kwa miezi inayoishia na trh 28, na nikipotezea inabidi niwe nasherehekea kila baada ya miaka minne ili ipatikane hyo 29.

Kalenda hii ya kizungu hainitendei haki au nibadilishe kalenda....
 
HUWA NAPATA SHIDA SANA KWA HII CKU YANGU YA KUZALIWA, NIKISEMA NISHEREHEKEE TRH 28 AU TRH 1 MACHI, NAONA KM NAJIDANGANYA. NAOMBA USHAURI WADAU, AU NIWE NAPOTEZEA KWA MIEZI INAYOISHIA NA TRH 28, NA NIKIPOTEZEA INABIDI NIWE NASHEREHEKEA KILA BAADA YA MIAKA MINNE ILI IPATIKANE HYO 29.

KALENDA HII YA KIZUNGU HAINITENDEI HAKI AU NIBADILISHE KALENDA....?
Kama ni mwanaume huna haja ya kufatilia vitu kama hivi, fatilia pesa
 
ushauri nenda mahakamani kaape kuwa unataka uzaliwe tarehe unayotaka wewe halafu nenda kabadilishe cheti cha kuzaliwa ili uwe unasherehekea kila mwaka
msikilize miss chagga alichokwambia ww si unataka kukata keki
 
hahahahh tope na maji na beer aende mahakaman akaape apange tarehe aje tumuwish halaf tukamwagie [emoji23]
ha hahaha mleta mada ukishaapa niambie nikuweke kwenye reminder niende kunywa bia za offer
 
ushauri nenda mahakamani kaape kuwa unataka uzaliwe tarehe unayotaka wewe halafu nenda kabadilishe cheti cha kuzaliwa ili uwe unasherehekea kila mwaka
HAITASAIDIA, TAREHE YANGU NI 29.
 
Back
Top Bottom