Birthday yangu tarehe 29 Feb

KM KAZ NAPIGA KM PESA IPO
As long as hujawa na pesa kumzidi Bill Gates there is always a room to fight for more
Ila bdays ni mambo ya watoto wa kike hasa hasa. Ni ushauri tu huo ndugu
 
As long as hujawa na pesa kumzidi Bill Gates there is always a room to fight for more
Ila bdays ni mambo ya watoto wa kike hasa hasa. Ni ushauri tu huo ndugu
C LAZIMA NIMFIKIE BILLGATE, WALA CNA HAJA YA KUMFIKIA
 
Bas turud kwenye topic kuwa bday ni jambo la kike
Ni sawa sawa na mwanume kupenda penda harusi hai come
CJAKUELEWA
HATA MTUME WETU MUHAMMAD TUNASHEREHEKEA CKU YAKE YA KUZALIWA KILA MWAKA JAPOKUWA HATUKO NAE, ITAKUA MM NIKO HAI.
 
CJAKUELEWA
HATA MTUME WETU MUHAMMAD TUNASHEREHEKEA CKU YAKE YA KUZALIWA KILA MWAKA JAPOKUWA HATUKO NAE, ITAKUA MM NIKO HAI.
Kwenye pesa hujataka kujifananisha na bill gates
Ila kwenye birthday umejifananisha na mtume

Kwa heri
 
Kwenye pesa hujataka kujifananisha na bill gates
Ila kwenye birthday umejifananisha na mtume

Kwa heri
NANI ALIKUDANGANYA UKITAFUTA PESA NDO MPAKA UMFIKIE BILLGATE,
NI VZR KUWA NA NDOTO HZO, ILA HAIMAANISHI LAZIMA UWE KM BILGATE,
ILIMRADI PESA UNAPATA YA KUENDESHA MAISHA YAKO NA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI HYO INATOSHA,
KUWA KM BILGATE LABDA MUNGU AKUFUNGULIE MKONO WAKE, KWANI YE NDO ANAAMUA AMPE NANI NA ASIMPE NANI?

MI SITAFUTI PESA KUWA KM BILGATE, BORA NIOMBE KUWA MWEMA KM MTUME.
 

katika vitu ambavyo ni upuuzi na ukoloni mamboleo ni haya mambo ya kusherehekea besdei. Mkuu naomba upotezee tu. Sie wengine hata tarehe hatuzijui hadi tuangalie kadi ya mpiga kuraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe jamaa acha ku mmis represent mtume, nipe andiko balo mtume ali shereheka birthday yake
Wewe na kufananisha na ISIS mna mis represent dini kwa faida zenu wenyewe.
Alo kwambia birthday ni tendo jema nani!!?

Acha hizo bhana, hauna cha kujustfy kushereheka birthday.
 
Reactions: GUI
asalam alaykum warahmatulah wabarakatul,

nikukumbushe tu kuwa mfumo wa maisha ndani ya uislamu haufungamani na kusherekea siku ya kuzaliwa,na kufanya hivyo ni kufungamana na umagaribi ambao kiuhalisia haufungamani na uislamu.

hembu kumbuka,
1.garama unazitumia kuandaa hiyo sherehe wapo ambao wanelala njaa hasa masikini, mayatima lakini wewe unafanya kufuru hali ya kuwa wapo waliokosa hata kinywani mwao hawajatia chochote.

2.kumbuka kila sekunde moja, dakika, saa au siku inapopita hatupaswi tufurahi bali tumshukuru mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo kutufikisha salama,wakati huo huo ni jukumu la kila mmoja wetu kujitathimini kwa mazuri aliyoyatenda kwa ajili ya muumba wake hivyo hatupaswi kushangilia kuona kuwa siku na tarehe kama iliyozaliwa imejirudia bali tunapaswa kujitathimini kwa mema ya kumfurahisha muumba wetu maana kumbuka siku ya kufa ndiyo inazidi kujongea karibu yako zaidi.

nyongeza:
uislamu umetuwekea utaratibu mzuri na uliokamilika wa maisha hivyo hatupaswi kuongeza nakshi na mbwembwe maana kufanya hivyo ni kukiuka amri na utaratibu wa dini yetu na maamrisho na mienendo ya mtume wetu Mohammad(S. A. W)

[HASHTAG]#USISUBIRI[/HASHTAG] MPAKA MWAKA KUMBUKA SIKU YA AL_IJUMAA ni sikukuu na ni siku bora kwa kila muislamu na tunapaswa tuvae katika zile nguo tuzipendazo, tule katika vile tuvipendavyo ila pia tufanye mema zaidi na tuombe msamaha na kutubia dhambi zetu, hivyo ni vyema siku hii tukatumia muda wetu kuwatembelea wagonjwa mahospitalini na mengi mazuri ya kumfurahisha muumba wetu


hitimisho..
siamini katika kuisherekea siku ya kuzaliwa na kama wewe ni muislamu haupaswi kuisherekea hiyo siku ya kuzaliwa.
 

AHAA NIMEKUPATA KIASI.................
ILA HUJUI KM NAWEZA PIA KUSHEREHEKEA HYO B'DAY YANGU KWA KUTOA SADAKA AU KUWALISHA MASKINI AU KUFANYA LOLOTE JEMA. NA C LAZIMA NIPOTEZE PESA KM UNAVYOFIKIRIA.
 
KWA NN, LISIWE JAMBO JEMA,
COZ UNAPOTOKA MWAKA MMOJA KWENDA MWINGINE NI JAMBO KWANZA LA KUMSHUKURU MUNGU, COZ YE NDO ALIYEKUWEZESHA KUFIKA HUO MWAKA MWINGINE, KWAN WANGAPI WALITAMANI WAFIKE NA HAWAKUFIKA.
NI LAZIMA KUMSHUKURU MUNGU, SO UNATIMIZA MIAKA KADHAA KTK MAISHA YAKO NI VZR KUMSHURUKU MUNGU.

SO LINAPOKUJA SWALA LA SHEREHE INATEGEMEA, KILA MTU ANA NJIA YAKE YA KUSHEREHEKEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…