bruno castol
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,046
- 661
Miaka minne ijayo tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As long as hujawa na pesa kumzidi Bill Gates there is always a room to fight for moreKM KAZ NAPIGA KM PESA IPO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umekuja kutuhalibia tusisherehekee birthday tuache bwana [emoji23] na birthday boy
hahahhah hatumpotezi tunamshauri vizuri ili tukakate cake [emoji23] ila ww unataka kutuhalibia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namsaidia ndugu yangu hapo mtampoteza
Bas turud kwenye topic kuwa bday ni jambo la kikeC LAZIMA NIMFIKIE BILLGATE, WALA CNA HAJA YA KUMFIKIA
Hahahahahahhah hatumpotezi tunamshauri vizuri ili tukakate cake [emoji23] ila ww unataka kutuhalibia
hahahah tuachie birthday boy wetu tukamwagie na maji na tumwimbieHahaha
Yeye mwenyewe ana ng'ania kishenzi
Mtakula naye tu
Iceman nini lkn mbona unahalibuBas turud kwenye topic kuwa bday ni jambo la kike
Ni sawa sawa na mwanume kupenda penda harusi hai come
Kwenye pesa hujataka kujifananisha na bill gatesCJAKUELEWA
HATA MTUME WETU MUHAMMAD TUNASHEREHEKEA CKU YAKE YA KUZALIWA KILA MWAKA JAPOKUWA HATUKO NAE, ITAKUA MM NIKO HAI.
NANI ALIKUDANGANYA UKITAFUTA PESA NDO MPAKA UMFIKIE BILLGATE,Kwenye pesa hujataka kujifananisha na bill gates
Ila kwenye birthday umejifananisha na mtume
Kwa heri
Huwa napata shida sana kwa hii cku yangu ya kuzaliwa, nikisema nisherehekee trh 28 au trh 1 Machi, naona km najidanganya. Naomba ushauri wadau, au niwe napotezea kwa miezi inayoishia na trh 28, na nikipotezea inabidi niwe nasherehekea kila baada ya miaka minne ili ipatikane hyo 29.
Kalenda hii ya kizungu hainitendei haki au nibadilishe kalenda....
Wewe jamaa acha ku mmis represent mtume, nipe andiko balo mtume ali shereheka birthday yakeNANI ALIKUDANGANYA UKITAFUTA PESA NDO MPAKA UMFIKIE BILLGATE,
NI VZR KUWA NA NDOTO HZO, ILA HAIMAANISHI LAZIMA UWE KM BILGATE,
ILIMRADI PESA UNAPATA YA KUENDESHA MAISHA YAKO NA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI HYO INATOSHA,
KUWA KM BILGATE LABDA MUNGU AKUFUNGULIE MKONO WAKE, KWANI YE NDO ANAAMUA AMPE NANI NA ASIMPE NANI?
MI SITAFUTI PESA KUWA KM BILGATE, BORA NIOMBE KUWA MWEMA KM MTUME.
asalam alaykum warahmatulah wabarakatul,Huwa napata shida sana kwa hii cku yangu ya kuzaliwa, nikisema nisherehekee trh 28 au trh 1 Machi, naona km najidanganya. Naomba ushauri wadau, au niwe napotezea kwa miezi inayoishia na trh 28, na nikipotezea inabidi niwe nasherehekea kila baada ya miaka minne ili ipatikane hyo 29.
Kalenda hii ya kizungu hainitendei haki au nibadilishe kalenda....
asalam alaykum warahmatulah wabarakatul,
nikukumbushe tu kuwa mfumo wa maisha ndani ya uislamu haufungamani na kusherekea siku ya kuzaliwa,na kufanya hivyo ni kufungamana na umagaribi ambao kiuhalisia haufungamani na uislamu.
hembu kumbuka,
1.garama unazitumia kuandaa hiyo sherehe wapo ambao wanelala njaa hasa masikini, mayatima lakini wewe unafanya kufuru hali ya kuwa wapo waliokosa hata kinywani mwao hawajatia chochote.
2.kumbuka kila sekunde moja, dakika, saa au siku inapopita hatupaswi tufurahi bali tumshukuru mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo kutufikisha salama,wakati huo huo ni jukumu la kila mmoja wetu kujitathimini kwa mazuri aliyoyatenda kwa ajili ya muumba wake hivyo hatupaswi kushangilia kuona kuwa siku na tarehe kama iliyozaliwa imejirudia bali tunapaswa kujitathimini kwa mema ya kumfurahisha muumba wetu maana kumbuka siku ya kufa ndiyo inazidi kujongea karibu yako zaidi.
nyongeza:
uislamu umetuwekea utaratibu mzuri na uliokamilika wa maisha hivyo hatupaswi kuongeza nakshi na mbwembwe maana kufanya hivyo ni kukiuka amri na utaratibu wa dini yetu na maamrisho na mienendo ya mtume wetu Mohammad(S. A. W)
[HASHTAG]#USISUBIRI[/HASHTAG] MPAKA MWAKA KUMBUKA SIKU YA AL_IJUMAA ni sikukuu na ni siku bora kwa kila muislamu na tunapaswa tuvae katika zile nguo tuzipendazo, tule katika vile tuvipendavyo ila pia tufanye mema zaidi na tuombe msamaha na kutubia dhambi zetu, hivyo ni vyema siku hii tukatumia muda wetu kuwatembelea wagonjwa mahospitalini na mengi mazuri ya kumfurahisha muumba wetu
hitimisho..
siamini katika kuisherekea siku ya kuzaliwa na kama wewe ni muislamu haupaswi kuisherekea hiyo siku ya kuzaliwa.
KWA NN, LISIWE JAMBO JEMA,Wewe jamaa acha ku mmis represent mtume, nipe andiko balo mtume ali shereheka birthday yake
Wewe na kufananisha na ISIS mna mis represent dini kwa faida zenu wenyewe.
Alo kwambia birthday ni tendo jema nani!!?
Acha hizo bhana, hauna cha kujustfy kushereheka birthday.
mh! sitii nenoushauri nenda mahakamani kaape kuwa unataka uzaliwe tarehe unayotaka wewe halafu nenda kabadilishe cheti cha kuzaliwa ili uwe unasherehekea kila mwaka