Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

hakika Gwajima alipambana sana
 
sikuchanja sitochanja na uzuri serikali haikulazimisha mtu kuchanja, hakuna kulaumu
 
Ndio tatizo habari ukiisikia vijiweni, unaileta kimbulula kama ulivyoisikia ......
Kama unahitaji tafsiri hii lugha niambie nitafute kukuletea kimatumbi

 
Hawa ni matapeli na wanafiki waliojifanya kupinga chanjo kumfurahisha mwenzake. Sa100 aliongoza kutovaa barakoa. Ila ilipotangazwa kuwa mwendazake sasa hayupo, wanafiki wote walikimbilia barakoa na chanjo. Hakuna tapeli kama Gwajima aliyetundanganya angemfufua Amina Chifupa asimfufue.
 
Mimi chanjo yeyote ikija nitaendelea kuchanja tu !
Hapa nilipo nina alama ya chanjo ya Ndui ambayo hata sijui nilichanjwa mwaka gani nikiwa bado mdogo !

Wazungu wakitaka kutufanyia jambo lao wanalolitaka watatufanyia kwenye chochote kile tunachokipenda kukitumia na kukiamini !
Na kimoja wapo ni hiyo Simu yako iliyopo mkononi mwako hivi sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…

Wazungu wakitutaka hawawezi kutusubiri kwenye Pandemic ya Corona au homa ya ndege πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…

Simu zetu tu zinatosha kutufanya wanavyotaka !
Bandugu hamjawahi kusikia simu imeingia Virus 🦠 ???!!
Acha mchezo na walioendelea kwa sayansi !! πŸ™
 
Au wanaweza kuweka kwenye Coca-Cola. Nilichanja na nitachanja as long as WHO wakisema kuna pandemic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…