gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Bishop Mbupu
Huyo ni daktari wa meno š¬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaamini Tanzania tulikiwa na covid na chanjo ndio imeitokomezaš?Damu ya nani imeganda? Mimi ndugu zangu 4 wamechanja na wapo fresh tu mwaka wa 4 sasa hizo story za damu kuganda nitajie mmoja tu hapa Tanzania?
Tokea chanjo imekuja Covid 19 ilipotea duniani na lock down zikaisha, cha ajabu baada ya kuumbuka mkidhani hazitafanya kazi leo mnadandia kwenye hoja ya side effects!!
Watz mtakuwa wajinga mpaka lini?Gwajima ni nani katika ulimwengu wasayansi ya tiba? What role has he played?Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,
Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda cha kuzalisha chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena kwa matumizi ya binadamu. Sababu za kuondolewa chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.
Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda kwa damu kwa waliochanja chanjo hizo.
Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.
Asante Mungu kutuletea JPM,
Mungu ambariki Askofu Gwajima,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanzania. [emoji1241]
Karibuni[emoji120]
Source: The Telegraph Newspaper UK.
Hizo chanjo zinazoletwa na kulazimisha watu kuchanja malengo yao ni kuwafanya watu wawe MAZEZETA ILI WAWE WANASAINI MIKATABA YA AJABU NA MIBOVU ISIYOKUWA NA TIJA KWA TAIFA alisema Gwajima.Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,
Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda cha kuzalisha chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena kwa matumizi ya binadamu. Sababu za kuondolewa chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.
Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda kwa damu kwa waliochanja chanjo hizo.
Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.
Asante Mungu kutuletea JPM,
Mungu ambariki Askofu Gwajima,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanzania. š¹šæ
Karibuniš
Source: The Telegraph Newspaper UK.
Wapi nimetaja Tanzania, nimesema duniani maana huko kwenye baridi ndio waliathirika zaidi.unaamini Tanzania tulikiwa na covid na chanjo ndio imeitokomezaš?
Kumbe ukoo? Mimi binafsi Mama na Baba yangu walilazwa Aga Khan na nilishuhudua miili mingi tu ikipitishwa pale baada ya kufariki kwa Covid 19. Sasa wewe upo nyumbani taarifa za hospitali unazipataje? Ni sawa na kusema kwenye ukoo wenu hakuna anayelala Uchi! As If unazunguka vyumbani kwa ndugu zako kujua kama analala na nguo au Uchi.Mimi kwenye ukoo wangu sijawahi kusikia mwanaukoo kachanjwa, na sijawahi kusikia ameugua au kufa kutokana na covid na sidhani kama kuna hospitali nchini yenye mgonjwa wa covid.
Jibu hoja kisayansi, umesema chanjo ni feki je walivyokua wanakufa mamilion na ghafla baada ya chanjo kuja wakapona na lockdown zikaisha je ilikua suluhisho haikua suluhisho?No wonder Africa remain poor because of producing citizens with ireational thoughts like youš.
Biashara kumbe? Kwani ARV sio biashara mbona tunatumia? Vipi JPM alikataa chanjo huku anatumia pacemaker kusukuma moyo vipi haikua biashara pia?Bahati mbaya nimeshindwa ku upload vid ya Bill gates akijikanyaga wakati akihojiwa kuhusu hizi chanjo,kifupi ni biashara za watu,
Mzee wangu na Mama yangu walichanjwa baada ya kuponea ICU kwa Covid 19 so wewe unayebisha shukuru Mungu haukuexperience nilichopitia ndio maana una haki ya kubisha. Kingine huyo JPM alishinda nini? Mbona Covid 19 ilimfyeka? Alituambia tumtegemee Mungu tusivae barakoa cha ajabu yeye badala ya kumtegemea Mungu akawa anategemea pacemaker ya mzungu ndio isukume moyo wake!! Kama sio unafiki ni nini?na JPM alishinda hii vita,wewe hukupelekwa lockdown na wala hujachanjwa na upo hapa kubwabwaja ukitetea chanjo?!pathetic.
Sasa kama virus walikuwa active kwenye nchi zenye baridi, inakuwaje sisi tukimbilie hizo chanjo tena kwa kuchukua fedha za mkopo ambazo sina hakika kama zimesalimika.Wapi nimetaja Tanzania, nimesema duniani maana huko kwenye baridi ndio waliathirika zaidi.
Una uthibitisho wa baba na mama yako kulazwa kutokana na covid au magonjwa mengine? Hizo maiti nyingi ulizozishuhudia,nani alikuthibitishia kuwa wamekufa kutokana na covid?Kumbe ukoo? Mimi binafsi Mama na Baba yangu walilazwa Aga Khan na nilishuhudua miili mingi tu ikipitishwa pale baada ya kufariki kwa Covid 19. Sasa wewe upo nyumbani taarifa za hospitali unazipataje? Ni sawa na kusema kwenye ukoo wenu hakuna anayelala Uchi! As If unazunguka vyumbani kwa ndugu zako kujua kama analala na nguo au Uchi.
Haikuwa suluhisho sababu ya kugundulika kuwa na side effects zilizopelekea kusitisha uzalishaji.Jibu hoja kisayansi, umesema chanjo ni feki je walivyokua wanakufa mamilion na ghafla baada ya chanjo kuja wakapona na lockdown zikaisha je ilikua suluhisho haikua suluhisho?
The government attributed his death to a heart condition accompanied by a decade-long chronic atrial fibrillation, although opposition figures and some media sources alleged that Magufuli had contracted COVID-19.Biashara kumbe? Kwani ARV sio biashara mbona tunatumia? Vipi JPM alikataa chanjo huku anatumia pacemaker kusukuma moyo vipi haikua biashara pia?
Mzee wangu na Mama yangu walichanjwa baada ya kuponea ICU kwa Covid 19 so wewe unayebisha shukuru Mungu haukuexperience nilichopitia ndio maana una haki ya kubisha. Kingine huyo JPM alishinda nini? Mbona Covid 19 ilimfyeka?
Africa na dunia nzima inajua kuwa JPM alishinda vita ya covid,Wakati nchi nyingi Africa na dunia zipo kwenye lockdown,sisi tuliendelea na shughuli zetu cha kushangaza madhara tuliyaona kwenye nchi zilizoenda lockdown badala ya sisi.Alituambia tumtegemee Mungu tusivae barakoa cha ajabu yeye badala ya kumtegemea Mungu akawa anategemea pacemaker ya mzungu ndio isukume moyo wake!! Kama sio unafiki ni nini?
Matishio yamekuwa mengi mara tutageuka mazombi ama sijui nn?ponda mali kufa kwaja
Haya wa kuchanjwa tumekusikia!Happy sun's day wanajf,
Ninaumia sana kuona watu ambao hawakuchanjwa chanjo ya covid 19 kuwaona bado hawajafa .
Hii ina nipa mashaka na kudhani labda sisi tuliochanjwa ndio tutadhurika mapema na kuondoka duniani.
Kumekuwa na taarifa nyingi kwamba chanjo ya covid19 ilikuwa ni agenda wa kupunguza watu ulimwenguni (Mass depopulation).
Ila mimi nazidi kukemea hiyo dhana ya kukututishia watu ambao tumechanjwa chanjo ya covid19 kwa kusema kwamba
"Hakuna atakayeishi milele hapa duniani"
Uwe umechanjwa ama bado ,acheni kutuogopesha mzee
Happy sun's day wanajf,

Madhara ya chanjo tumeyapata katika familia zetu. We acha tuHappy sun's day wanajf,
Ninaumia sana kuona watu ambao hawakuchanjwa chanjo ya covid 19 kuwaona bado hawajafa .
Hii ina nipa mashaka na kudhani labda sisi tuliochanjwa ndio tutadhurika mapema na kuondoka duniani.
Kumekuwa na taarifa nyingi kwamba chanjo ya covid19 ilikuwa ni agenda wa kupunguza watu ulimwenguni (Mass depopulation).
Ila mimi nazidi kukemea hiyo dhana ya kukututishia watu ambao tumechanjwa chanjo ya covid19 kwa kusema kwamba
"Hakuna atakayeishi milele hapa duniani"
Uwe umechanjwa ama bado ,acheni kutuogopesha mzee
samahani sijaelewa kwani zile chanjo na zile hela za madarasa ya uvico ni mkopo tunatakiwa kulipa au ni msaada uliotolewa bure?Na kingine Cha kushangaza zaidi,
Nchi yetu, ilikopeshwa Chanjo za majaribioš