Kwamba aliuawa hilo sijui, ninachojua covid19 ilikuwa rahisi kumshambulia mtu mwenye changamoto za kiafya, na JPM ni miongoni mwao ikikumbukwa hiyo mashine aliyofungiwa 1987 japokuwa alijikusanyia maadui wengi kwa aina ya utawala wake,bado hamfikii Mwl.Nyerere ambaye aliwanyang'anya mpaka hao mabeberu mashamba yao, ukiachilia mbali kujihusisha na ukombozi kwenye nchi nyingi za kusini mwa Africa, kwa hiyo kama kuuawa basi angeanza Nyerere lakini kafa akiwa na 77 age tena miaka 14 toka aondoke kwenye urais.Mkuu mpango wa kumuua JPM ili kusingizia COVID ulisukwa kitaalamu, hata kwenda Chato aliambiwa na usalama Magogoni sio salama, hata kuwahi kurudi alilazimisha yeye.. Hivi mpo Tanzania hii kweli!?.., Kwahiyo kwa akili yako nyepesi Chato alikoenda hakukuwa na Corona!??!?.. Hivi bado Kuna mtanzania mpaka leo hajui kama Magufuli aliuawa!?..., Au ndo nyie wa lete ushahidi!?🤣
Covid19 imeua ni vile tuliacha kutangaza. Binafsi nimeshuhudia watu wa karibu wengi tu wameondoka.
Covid19 ilikuwa haitaki dharau, ilikuwa ni lazima kufuata masharti ya wataalam, na haikutaka maigizo kama ya kina msukuma na Jafo eti wamepiga picha wanajifukiza.
Kwamba katika East Africa yote tuamini ni Tanzania na Burundi tu ndo waliongozwa na malaika?
Sipingani na wewe kuhusu uwezekano wa kuawa,japo bado naendelea kuamini wapo baadhi ya watanzania walipoteza maisha kwa kiburi cha watawala.
Ulinzi aliokuwa nao JPM sipati picha ya namna ya kumsogelea, halafu na anauguzwa na watu watatu wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama!!!Labda kupitia hao waliokuwa wanamuuzia Mahindi ya kuchoma akiwa kwenye misafara yake.