Bishop kawapiga Chenga! Kesho ni Maandamano makubwa sana haijawahi shuhudiwa Afrika Nzima !

Bishop kawapiga Chenga! Kesho ni Maandamano makubwa sana haijawahi shuhudiwa Afrika Nzima !

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Niliwahi waambia humu Wakuu, TISS na Jeshi la Polisi hutegemea Kupata Taarifa kupitia MATESO .

yaan wakikukamta wewe, wakupige, wakutese, Sasa wee ndio Useme "Fulani Yuko pale ".

Hata Mh Polepole kama asingesalitiwa na Mzee Butiku Kwa ushirikiani wa Halotel , mpaka Sasa tungekua na Mh Polepole !!!.

Tuachane na Hawa Vichwa maji TISS na Ndugu zao Polisi.

Wakuuu, Kesho ni Maandamano makubwa sana ya Amani .

Kwa Dar na Dodoma Tunaelekea IKULU.

Kwa Mikoani Tunaelekea Kwa Madiwani na Wabunge.

Samia na genge lake Wana machaguzi mawili tu

Watuue Tena , Dunia Ione, Ipate Ushahidi wa ICC na Bado TUTAELEKEA IKULU lkn pia kesho HAKUNA RAIA ATAKAYEULIWA KIZEMBE, KILIO KINAENDA NA KWAO.

AU

Wasitue, lakini sisi Bado TUTAELEKEA IKULU.

Leo Mama yangu kanipigia Simu, Kaniambia Mwanangu, Kesho ukakiwakilishe vizuri Kizazi chako na miaka mingi iliyopo mbele yako kama Kijana .

Tukutane Kesho, Zingatia Maelekezo !!!
 
Ila Gwajimà Bishop ana Akili sana mazee.


Jamaa walipofungua Kanisa walifanya hivo kama mtego ..


Kwamba,

Gwajima ajitokeze Kanisan wamkamate.

Au
Gwajima atoe Hotuba, hapa kwenye Hotuba wakapanga, Akiunga Mkono Maandamano ya Kesho, wasemee ,Simnaona, Kanisa lake linaunga Maandamano ....



Au Atoe Hotuba ya Kupooza D9.



Gwajima, Jasusi, akasema alaaaaa.


Sasa siongei chochote na D9 Iko palepale.
 
Sasa mkuu unafikiri vijana walioko makumbusho kwa sasa ni kizazi cha Apson ? Hili ni zao la ccm hakuna watu humo, kila siku watu wanajipitisha kwenye misara ya viongozi na wanapiga hadi picha ili wakazitimie kutapeli na bado hakuna anaeng'amua ndio waje wakamate wenye akili
 
FB_IMG_1746775185174.jpg
 
Mamako kakupgia simu eti kakiwakilishe vizuri....
Hauna mama wewe atakuwa alishatangulia mbele za haki, na kama yupo acha kumbebesha dhambi za kishoga
 
Back
Top Bottom