Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
rodger dat
Mwisho wenu ni kesho. In fact mna msaa macheche tu ya kukimbia nchiMamako kakupgia simu eti kakiwakilishe vizuri....
Hauna mama wewe atakuwa alishatangulia mbele za haki, na kama yupo acha kumbebesha dhambi za kishoga
Masheikh ubwabwa toka Bar-kwata mnajulikana tu.Linda uhai wako na kiwiliwili chako
epuka maandamano haramu
Mwisho wenu kesho. In fact mmebakiza masaa machache tu ya kutorokea OmaniLinda uhai wako na kiwiliwili chako
epuka maandamano haramu
Unasemaje we mfuasi wa uncle TWafuasi wa Mange.
Labda wanaye maana Kuna siku Genta alitamba sana kuwa wamemaliza kazi!!!!siongei chochote
Hivi ni wewe yule wa tangia 2015 au ID inaendeshwa na mrithi wakoUjumbe maridhawa sana. Ni bahati mbaya tu hatuna silaha za moto, ila tukizipata tutaongea lugha inayoeleweka kwa wote.
Tokeni muoneSheikh umechoka kula ubwabwa na maharage?
Sio 2015 boss, ni toka 2011, na sina mpango wa kumrithisha yoyote.Hivi ni wewe yule wa tangia 2015 au ID inaendeshwa na mrithi wako
Hakuna serikali yoyote inayoweza kuvumilia huo upumbavuMwisho wenu ni kesho. In fact mna msaa macheche tu ya kukimbia nchi
Ndo mana mnafeli mapema wajinga wenzako wameambiwa ulekeo ni bungeni Dodoma wewe unaenda Ikulu🤣🤣 UTAKUFA VIBAYA MJINGA WEWE.Kwa Dar na Dodoma Tunaelekea IKULU.
Leo Mama yangu kanipigia Simu, Kaniambia Mwanangu, Kesho ukakiwakilishe vizuri Kizazi chako na miaka mingi iliyopo mbele yako kama Kijana .
Nilikuwa namlaani sana Netanyau ila baada ya kuwajua vizuri hawa alkasusu ningepata nafasi ningemuomba msamaha Netanyau hawa ni takataka.Mwisho wenu kesho. In fact mmebakiza masaa machache tu ya kutorokea Omani
Mh Polepole kama asingesalitiwa na Mzee Butiku Kwa ushirikiani wa Halotel , mpaka Sasa tungekua na Mh Polepole !!!.Niliwahi waambia humu Wakuu, TISS na Jeshi la Polisi hutegemea Kupata Taarifa kupitia MATESO .
yaan wakikukamta wewe, wakupige, wakutese, Sasa wee ndio Useme "Fulani Yuko pale ".
Hata Mh Polepole kama asingesalitiwa na Mzee Butiku Kwa ushirikiani wa Halotel , mpaka Sasa tungekua na Mh Polepole !!!.
Tuachane na Hawa Vichwa maji TISS na Ndugu zao Polisi.
Wakuuu, Kesho ni Maandamano makubwa sana ya Amani .
Kwa Dar na Dodoma Tunaelekea IKULU.
Kwa Mikoani Tunaelekea Kwa Madiwani na Wabunge.
Samia na genge lake Wana machaguzi mawili tu
Watuue Tena , Dunia Ione, Ipate Ushahidi wa ICC na Bado TUTAELEKEA IKULU lkn pia kesho HAKUNA RAIA ATAKAYEULIWA KIZEMBE, KILIO KINAENDA NA KWAO.
AU
Wasitue, lakini sisi Bado TUTAELEKEA IKULU.
Leo Mama yangu kanipigia Simu, Kaniambia Mwanangu, Kesho ukakiwakilishe vizuri Kizazi chako na miaka mingi iliyopo mbele yako kama Kijana .
Tukutane Kesho, Zingatia Maelekezo !!!
Wezi wapo ikulu jomba hao ndio wamezaa mo29, wakazaa na 09D.Tutapambana na nyinyi this time,wezi wakubwa nyinyi
Una maoni kama yanguUjumbe maridhawa sana. Ni bahati mbaya tu hatuna silaha za moto, ila tukizipata tutaongea lugha inayoeleweka kwa wote.