Bishop kawapiga Chenga! Kesho ni Maandamano makubwa sana haijawahi shuhudiwa Afrika Nzima !

Bishop kawapiga Chenga! Kesho ni Maandamano makubwa sana haijawahi shuhudiwa Afrika Nzima !

Sasa kama mzazi wako ni msenge unategemea atakutia Moyo??

Namshukuru Mungu wazazi wangu wote wamewasiliana nami usiku huu na kunipa baraka Zote katika Kupigania wanyonge na kuhakikisha wapo Salama
Upo barabarani kwa baraka za wazazi ee?
 
Niliwahi waambia humu Wakuu, TISS na Jeshi la Polisi hutegemea Kupata Taarifa kupitia MATESO .

yaan wakikukamta wewe, wakupige, wakutese, Sasa wee ndio Useme "Fulani Yuko pale ".

Hata Mh Polepole kama asingesalitiwa na Mzee Butiku Kwa ushirikiani wa Halotel , mpaka Sasa tungekua na Mh Polepole !!!.

Tuachane na Hawa Vichwa maji TISS na Ndugu zao Polisi.

Wakuuu, Kesho ni Maandamano makubwa sana ya Amani .

Kwa Dar na Dodoma Tunaelekea IKULU.

Kwa Mikoani Tunaelekea Kwa Madiwani na Wabunge.

Samia na genge lake Wana machaguzi mawili tu

Watuue Tena , Dunia Ione, Ipate Ushahidi wa ICC na Bado TUTAELEKEA IKULU lkn pia kesho HAKUNA RAIA ATAKAYEULIWA KIZEMBE, KILIO KINAENDA NA KWAO.

AU

Wasitue, lakini sisi Bado TUTAELEKEA IKULU.

Leo Mama yangu kanipigia Simu, Kaniambia Mwanangu, Kesho ukakiwakilishe vizuri Kizazi chako na miaka mingi iliyopo mbele yako kama Kijana .

Tukutane Kesho, Zingatia Maelekezo !!!
Wewe bwege rudi hapa usome pumba zako
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom