Tetesi: Bitclub ni shida

Tetesi: Bitclub ni shida

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Habari wakuu,kuna kipindi hii kitu inayoitwa bitclub ilikuwa ikivuma sana humu ya kuwa ukinunua kifurushi aina flani utakuwa unapata package flan kwa mwezi.

Kuna watu walikuwa wanatamba humu kwamba ameanza na m2 baada ya mda mfupi ana m8 na kusema inapaa hatari.

Kuna baadhi ya watu wameuza magari,viwanja,nyumba na wengine wamekopa pesa benki mbali mbali kusudi wawekeze kwa bitclub.

Kinachoendelea sasa ni kwamba hawawezi ku_withdraw pesa zao kwa masharti mpaka bitcoin moja ifikie thamani ya usd 11,000 ukizingatia kwa sasa ina thamani ya usd 6,000.

Kuna kipindi ilipanda mpaka 10999 watu wakawa wanaisubiri ifike elfu 11 watoe pesa zao wakalala walipoamka wakakuta ngoma imeporomoka mpaka dola elfu tano.

Kuna jamaa namfahamu yeye aliuza gari na kiwanja akawa na vifurushi vingiii vya pesa ndefu,anakaribia kuwa chizi maana kwenye acount inasoma hela ndefu ila kutoa hata buku ya kununulia fungu la samaki anashindwa,amepanga kwenda makao makuu Brazil kudai haki yake.

Niwape pole sana wahanga wote mliokumbwa na bwana Bitclub pengine mtakuwa mmejifunza ya kuwa mafanikio ya kweli huwa hayaji kirahisi rahisi kihivyo,mafanikio ya kweli huchukua muda.
 
Dah Pole Sana kwa wahusika, Nadhani watakuwa wamejifunza kitu..... We learn through mistakes and No mistakes in life only Lessons. #bitclub ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda umeanza kuongea, haya mambo watu wakiambiwa wanakuwa wagumu kuelewa, wanahisi unawabania riziki, enewei tafuta kwa jasho lako tuache kupenda vitonga.
 
Hapo kwenye ukitonga ndio panapotumaliza hasa sisi wabongo,unakuta mtu ana laki mbili halafu ndani ya mwezi anataka awe na milion 10 kweli??
 
Habari wakuu,kuna kipindi hii kitu inayoitwa bitclub ilikuwa ikivuma sana humu ya kuwa ukinunua kifurushi aina flani utakuwa unapata package flan kwa mwezi.

Kuna watu walikuwa wanatamba humu kwamba ameanza na m2 baada ya mda mfupi ana m8 na kusema inapaa hatari.

Kuna baadhi ya watu wameuza magari,viwanja,nyumba na wengine wamekopa pesa benki mbali mbali kusudi wawekeze kwa bitclub.

Kinachoendelea sasa ni kwamba hawawezi ku_withdraw pesa zao kwa masharti mpaka bitcoin moja ifikie thamani ya usd 11,000 ukizingatia kwa sasa ina thamani ya usd 6,000.

Kuna kipindi ilipanda mpaka 10999 watu wakawa wanaisubiri ifike elfu 11 watoe pesa zao wakalala walipoamka wakakuta ngoma imeporomoka mpaka dola elfu tano.

Kuna jamaa namfahamu yeye aliuza gari na kiwanja akawa na vifurushi vingiii vya pesa ndefu,anakaribia kuwa chizi maana kwenye acount inasoma hela ndefu ila kutoa hata buku ya kununulia fungu la samaki anashindwa,amepanga kwenda makao makuu Brazil kudai haki yake.

Niwape pole sana wahanga wote mliokumbwa na bwana Bitclub pengine mtakuwa mmejifunza ya kuwa mafanikio ya kweli huwa hayaji kirahisi rahisi kihivyo,mafanikio ya kweli huchukua muda.
account haina pesa ya kununulia fungu la samaki huko Brazil atafika kweli?
 
Hakunaga business inayolipa sijui eti 300% in 12 months. Wizi mtupu. Wanaweza kweli kuwalipa wachache ili wakawe mawakala wazuri huko mtaani na walete wengine wengi ila mwisho wa siku mtapigwa wote kwa pamoja. Beware of these "online get-rich quick" ponzi schemes.
 
Hujanielewa mkuu,account ina mkwanja mrefu ila kuutoa ndio haiwezekani.
Kuhusu nauli sijui atatumia mbinu gani kwenda,kwakuwa namfaham itajulikana tu.
 
"If fools went not to the market, bad wares would not be sold"

Acha mlizwe tu.
 
Hakunaga business inayolipa sijui eti 300% in 12 months. Wizi mtupu. Wanaweza kweli kuwalipa wachache ili wakawe mawakala wazuri huko mtaani na walete wengine wengi ila mwisho wa siku mtapigwa wote kwa pamoja. Beware of these "online get-rich quick" ponzi schemes.
Na ndicho kilichotokea hata kwa deci,wanalipwa wachache ili wawe mashuhuda na kuwavuta wengi.
 
Back
Top Bottom