mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Habari wakuu,kuna kipindi hii kitu inayoitwa bitclub ilikuwa ikivuma sana humu ya kuwa ukinunua kifurushi aina flani utakuwa unapata package flan kwa mwezi.
Kuna watu walikuwa wanatamba humu kwamba ameanza na m2 baada ya mda mfupi ana m8 na kusema inapaa hatari.
Kuna baadhi ya watu wameuza magari,viwanja,nyumba na wengine wamekopa pesa benki mbali mbali kusudi wawekeze kwa bitclub.
Kinachoendelea sasa ni kwamba hawawezi ku_withdraw pesa zao kwa masharti mpaka bitcoin moja ifikie thamani ya usd 11,000 ukizingatia kwa sasa ina thamani ya usd 6,000.
Kuna kipindi ilipanda mpaka 10999 watu wakawa wanaisubiri ifike elfu 11 watoe pesa zao wakalala walipoamka wakakuta ngoma imeporomoka mpaka dola elfu tano.
Kuna jamaa namfahamu yeye aliuza gari na kiwanja akawa na vifurushi vingiii vya pesa ndefu,anakaribia kuwa chizi maana kwenye acount inasoma hela ndefu ila kutoa hata buku ya kununulia fungu la samaki anashindwa,amepanga kwenda makao makuu Brazil kudai haki yake.
Niwape pole sana wahanga wote mliokumbwa na bwana Bitclub pengine mtakuwa mmejifunza ya kuwa mafanikio ya kweli huwa hayaji kirahisi rahisi kihivyo,mafanikio ya kweli huchukua muda.