troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Swadakta!TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta!TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Mkuu Rostam Aziz kakufanyaje???TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Wewe huyo jamaa umjui ...kumbuka .mdogo wake alikuwa anamiliki hadi jeshi nchiniMkuu
Mkuu Rostam Aziz kakufanyaje???
Mbona unarukaruka Kama bisi!!!?..ulisema rostam ndiye kikwazo Cha sisi kuendelea Kama taifa,ndiyo nikakwambia Nyerere katawala robo Karne huku rostam akiwa si lolote igunga,mbona hatukuendelea!?..mengi hakuwa na mtaji wa biashara ya gesi,alitaka kuleta udalali wake tu..na rostam alimchana,rejea press yake,hata mhongo alisema wazawa wana mitaji ya juisi tu....Hata wazungu kipindi hicho wao pia walikuwa awana smartphone nk hivyo tumia akili ...sisi tunazungumzia waujumu uchumi nyerere kapewa nchi mbovu na mkoloni ....kutoka dar hadi morogoro ni sawa sawa na kutoka dar hadi Kinshasa...watu walikuwa hawana elimu yoyote ...zaidi ya asilimia 80 walikuwa awajui shule ni nini baadhi tu walifika darasa la 4
KUHUSU HUYO JAMBAZI AZIZI HATA BWANA R. MENGI ALIWAHI KULALAMIKA KWA KUZUIWA KWENYE SECTA YA GESI ALIYEFANYA HIVYO NI ROSTAM NA GENGE LAKE LENGO NI KUAKIKISHA HIYO SECTA YA GESI KUSIWE NA MZAWA MWENYE NGOZI NYEUSI YOYOTE ILI WAWEZE KUTUNYONYA MANYANI
Nitajie nyerere kaondoka madarakani nchi ilikuwa na viwanda vingapi je ndege tulikuwanazo ngapi ...dawayenu mafisadi ni kupigwa chuma ya tigo tuMbona unarukaruka Kama bisi!!!?..ulisema rostam ndiye kikwazo Cha sisi kuendelea Kama taifa,ndiyo nikakwambia Nyerere katawala robo Karne huku rostam akiwa si lolote igunga,mbona hatukuendelea!?..mengi hakuwa na mtaji wa biashara ya gesi,alitaka kuleta udalali wake tu..na rostam alimchana,rejea press yake,hata mhongo alisema wazawa wana mitaji ya juisi tu....
Viwanda gani!?..pangekua na viwanda kungekua na uhaba wa bidhaa muhimu!?..waulize wakubwa wako waliokua wakitumia sukari guru,majani ya mpapai Kama sabuni,nguo kujaa viraka..hivyo viwanda viwanda gani!?Nitajie nyerere kaondoka madarakani nchi ilikuwa na viwanda vingapi je ngege tulikuwanazo ngapi ...dawayenu mafisadi ni kupigwa chuma ya tigo tu
Tanesco hawatumii Taifa Gas, hiyo ni kwa ajili ya kusongea ugali wako.TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Wewe unajuwa kuliko mama'ko na baba'ko?Tatizo Ccm Tu Tangu Uhuru Mpaka Sasa Hawajui Wafanyaje
Mimi nilikuwepo nyerere alipewa nchi mbovu na wakoloni ....wewe pichu chafu unaongea kana kwamba nyerere alipewa nchi yenye maendeleo...swala la kuvaa nguo zilizo chanika lilikuwa tokea wakoloni ...tofauti na huyu zuzu wenu aliachiwa nchi umeme umetengemaa ...kakuna kipindupindu ...elimu bure ...bando za Internet zilikuwa chini ....kapewa nchi iliyo ingia uchumi wa kati ila kwa sasa hata pesa za kigeni hakuna hadi anamrudiza miarabu mpumbavu kuja kututawala manyani[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] ....kwa hiyo nakuambia wewe nyani rukaruka kwa furaha maana mkoloni muarabu karudi nchini.Viwanda gani!?..pangekua na viwanda kungekua na uhaba wa bidhaa muhimu!?..waulize wakubwa wako waliokua wakitumia sukari guru,majani ya mpapai Kama sabuni,nguo kujaa viraka..hivyo viwanda viwanda gani!?
Haya tuambie zile bunduki na nyara za nchi familia ya ROSTAM WALIZITOA WAPI MAANA PICHA ZIPO WAZI MITANDAONITanesco hawatumii Taifa Gas, hiyo ni kwa ajili ya kusongea ugali wako.
Maana ulivyoandika unaonesha hata ubwabwa huujuwi.
Nilikuwepo, viwanda vingi nyerere slivikuta vya watu binafsi akavitaifisha.Nitajie nyerere kaondoka madarakani nchi ilikuwa na viwanda vingapi je ngege tulikuwanazo ngapi ...dawayenu mafisadi ni kupigwa chuma ya tigo tu
Marais waisiharamu wamejenga viwanda vingapi kwa ujumla wao au kitu gani cha maana wamefanya nitajie hata kimoja tuNilikuwepo, viwanda vingi nyerere slivikuta vya watu binafsi akavitaifisha.
Alivyojenga yeye wakati wake wote havifiki 30.
Vyote vilikufa, vyake na alivyotaifisha, kabla hajaondoka madarakani.
Msidanganyane bado tupo hai.
Marais waisiharamu wamejenga viwanda vingapi kwa ujumla wao vau kitu gani cha maana wamefanya nitsjie hata kimoja tu
Zaidi ya kula na [emoji117][emoji90] tu nikipi kimoja tu ambacho marais wahisiharamu wamefanya ....nimekaa pale nangoja unitajie ...kama huyu zuzu tuliye naye ndiyo anaonga nchi kwa muarabu kwa yeye kukabidhiwa phd za kuchambia chooni ......Hayo ndiyo maadili uliyofundishwa na mama'ko?
Naina ya gas umepigwa knockout umekimbilia bunduki.Haya tuambie zile bunduki na nyara za nchi familia ya ROSTAM WALIZITOA WAPI MAANA PICHA ZIPO WAZI MITANDAONI
Sikushangai, nafahamu mlivyo watoto wa kulelewa na mama pekee ambao kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko".Zaidi ya kula na [emoji117][emoji90] tu nikipi kimoja tu ambacho marais wahisiharamu wamefanya ....nimekaa pale nangoja unitajie ...kama huyu zuzu tuliye naye ndiyo anaonga nchi kwa muarabu kwa yeye kukabidhiwa phd za kuchambia chooni ......
YANI UNAPEWA PHD UNATIA SAHINI KUONGA NCHI YETU TUKUFU KUWA KOLONI LA MUARABU STUPPPdi
Kwa hiyo vitalu walivyo navyo ndiyo vimewapa ruksa kumiliki bunduki haramu na nyara za serikali .....tuambie na zile pesa za rumbesa za singasinga nazo ni kitalu [emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]Naina ya gas umepigwa knockout umekimbilia bunduki.
Hujuwi kuwa wana vitalu vya uwindaji?
Ulifikiri Kwenye vitalu vya uwindaji wanawindia manati?