Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.