Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

Angeshughulikia wasiojulikana ningekubaliana na hoja. Lakini kwa hali ilivyo No!. Hata hivyo, Mhe. Biteko anafaa sana kuwa Rais hata mwakani tu agombee tumpe kura!
Watu wanajiteka wenyewe. Mfano ni huyu aliyejiteka nankukimbilia zanziba
 
Alianza mwakilishi mmoja kwa sauti ya chinichini...."tutamlazimisha, atake asitake...." Na wengine wakaitikia kwa kishindo "atakuwa yeye milele".
 
Kama Jeshi litampa kibali atakuwa Rais!
Kwani jeshi si ni hawa hawa tunashinda tunakunya matap tap mtaani na kugombe mademu au wake za watu. Halafu si ni hawahawa waliokuwa vilaza darasani
 
Back
Top Bottom