Man un employment issue ni tatizo la dunia, hakuna nchi imemaliza hilo tatizo. Speaking from guy ambae amebahatika kusoma huko,Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.
Samia is so scientific sana. Kwanza kitendo cha kutangaza ajira zaidi ya elfu 3 za walimu wa biashara tayari itatengeneza scarcity kwa private sector na baadae pia kutakuwa na hitaji kubwa lanwalimu wa accounts na commerce a level. Private school wataacha ule unyanyasaji mana man power itapatikan kwa tochiMan un employment issue ni tatizo la dunia, hakuna nchi imemaliza hilo tatizo. Speaking from guy ambae amebahatika kusoma huko,
As long tunazidi ku produce wasomi, na nafasi za kazi kuwa finyu, wlrate haitokaa ishuke
Unemployment rate ya Tanzania ni kiasi gani??Samia is so scientific sana. Kwanza kitendo cha kutangaza ajira zaidi ya elfu 3 za walimu wa biashara tayari itatengeneza scarcity kwa private sector na baadae pia kutakuwa na hitaji kubwa lanwalimu wa accounts na commerce a level. Private school wataacha ule unyanyasaji mana man power itapatikan kwa tochi
Man unaongelea nini aisee? Unajua idadi ya wasomi walioko mtaani since 2015?Samia is so scientific sana. Kwanza kitendo cha kutangaza ajira zaidi ya elfu 3 za walimu wa biashara tayari itatengeneza scarcity kwa private sector na baadae pia kutakuwa na hitaji kubwa lanwalimu wa accounts na commerce a level. Private school wataacha ule unyanyasaji mana man power itapatikan kwa tochi
Mungu ibariki TZ... Ngoja yasiyojulikana yabaki kama yasiyojulikanaHakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.
RAIS mpole hatumtaki!tunataka chuma type ya JPM but azingatie tu haki za binadamu lkn awe mchapakazi na chuma kama #CHUMAJPM#Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.
Samia is gona end up the massive unemployment created by jpm. Tunza hii utaikumbukaMan unaongelea nini aisee? Unajua idadi ya wasomi walioko mtaani since 2015?
Unafahamu every year vijana wangapi wanahitimu?
Certificates ,diploma, degree?
Private school hawatobadili sera zao, kama wewe si the best you wont get in period
Tunataka maisha mazuri kama yalivyo sasa siyo rais mwenye kufurahia mateso kama jpmRAIS mpole hatumtaki!tunataka chuma type ya JPM but azingatie tu haki za binadamu lkn awe mchapakazi na chuma kama #CHUMAJPM#
Uhusiano kati ya kichwa cha uzi na uzi wenyewe havina uhusiano.Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.
Samia hadi 2035 inshlahh, baada ya hapo ni Ridhiwani kikwete ndio Rais ajaye, hutaki hama nchi haraka!Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.
Well no body at end unemployment issue duniani, not even ulaya ambapo wako mbali kuliko sisi.Samia is gona end up the massive unemployment created by jpm. Tunza hii utaikumbuka
Kwa upande wa ajira Samia ameupiga mwingi.Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.
Angeshughulikia wasiojulikana ningekubaliana na hoja. Lakini kwa hali ilivyo No!. Hata hivyo, Mhe. Biteko anafaa sana kuwa Rais hata mwakani tu agombee tumpe kura!Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na itabaki historia.
Hii hoja imejaa mahaba kuliko uhalisia!!!Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.