Biteko awataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati kuacha kufanya kazi kwa mazoea

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Your browser is not able to display this video.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watendaji Wizara ya Nishati, Tanesco na REA kuacha mazoea na kutatua kero za wananchi.

Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi, Machi 14, 2024 wakati akizindua mradi wa umeme jua utakaozalisha megawati 150 katika Kijiji cha Ngunga wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Serikali ya kuibua, kuendeleza na kutekeleza vyanzo mbalimbali vya umeme ili kuondokana na utegemezi wa maji na gesi asilia kuzalisha umeme.
 
Huku kwetu kijiji cha LUGULU same mashariki bado hatujauunganishwa na REA ,
 
Yaani kuongea hivi tu kamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…