Vipi ile miundombinu ya Chalamila Dar imetengenezwa?
 
"Hata hivyo uzinduzi rasmi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu

Yaani viongozi wa Kiafrika wanapenda kitu kinaitwa uzinduzi, ni muendelezo ule ule wa uswahili wa kucheza cheza ngoma na sherehe za kitamaduni...
 
Amechelewa sana kuwasha hiyo mitambo kwasababu ya kumuamini bwana kipara......
Kwani aliyekamilisha bwawa hadi mageti kushushwa na maji kujazwa alikua nani? Acheni chuki January aliwapisha ila bado mgao mmefeli kuumaliza, sasa mkishindwa bado lawama kwake?
 
Kama jpm asingeanzisha huo mradi sijui mngekimblia wapi .serikali isiyojua chochote cha kufanya
 
Kwani huyo ni waziri wa nchi gani??

Maana tupo gizani huku.
 


Watafute suluhisho la kudumu. Umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…