Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
ARUSHA MJINIwapi uko binti yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ARUSHA MJINIwapi uko binti yangu
uwanja wa ndege mwanza mbona bado!Anajitahidi sana, hata daraja la kisasa Mwanza mambo mazuri!
Mingine 7,6,5,4,3,2,1 lini"Hata hivyo uzinduzi rasmi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu ambapo mitambo yote hiyo miwili itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme megawati 470" amesema Dkt Biteko
Tokea asubuhi hapa nilipo ulikatika,ndio umerudi saa 12 jioni,ni Wilaya ya Mwanga,KilimanjaroUlipo umeme umekatika leo?
Mhuni tu huyuView attachment 2916172
Mlishatuona wajinga kitambo sana, wacha tukae kimya tu
Wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya wanasema muda huu,wako GIZANI!Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa.
Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema uzalishaji huo wa megawat 235 utapunguza mgao wa Umeme kwa asilimia 85 na hivyo wananchi wataondokana na kero ya umeme.
"Hata hivyo uzinduzi rasmi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu ambapo mitambo yote hiyo miwili itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme megawati 470" amesema Dkt Biteko
Pia soma:
- Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania
Juzi wamepeleka jenereta mtwara. La nini?Kama bwawa la Nyerere limeshaanza kuzalisha umeme. Mama samia ametisha kwa kuendeleza magufuli alipoishia
Ndiyo, mbwa weweUlipo umeme umekatika leo?
Naunga mkono hoja.Kama bwawa la Nyerere limeshaanza kuzalisha umeme. Mama samia ametisha kwa kuendeleza magufuli alipoishia
... some people HATE WITH SUCH PASSION ...! 😅soma tena ulichoandika
Mama Samia anasifiwa kwa mazuri tu, mambo yakikwama sio yeye.
Weee!! Kuna bei mlima yaja. Ni Machi 1 tutatangaziwa.Mama kama anataka kupiga bao hiyo siku ya uzinduzi atangaze na bei ya punguzo Kwa UNIT moja