Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Kwani aliyekamilisha bwawa hadi mageti kushushwa na maji kujazwa alikua nani? Acheni chuki January aliwapisha ila bado mgao mmefeli kuumaliza, sasa mkishindwa bado lawama kwake?
Kwani januari alikuwa hafanyi ukarabati wa mitambo mpaka kuna kuwa na mgao?
 
Kuna mashine tisa leo wamewasha ya kwanza bado nane mkuu

Kila mashine itatoa megawatts 270+
Hv Hayo maji yanayopita c pia yanapita kwenye sehemu zingine ambazo hakuna hizo mashine au.?
 
Walitaka waingize majenereta kwanza ndipo wawashe mtambo.

Juzi tu jenereta limepelekwa Mtwara halafu wanasema mtambo namba 9 umewashwa.

Hawa mbwa wanatuchezea sana akili zetu.
Mtwara mpaka jana walikuwa hawajaungwa na grid ya taifa wanatumia chanzo chao kuzalisha umeme, huenda ndio kinaongezewa nguvu.
 
Unaumia sana JPM akitajwa kwa mazuri yake!
Bwawa lilipochelewa mlisema January anahujumu na Samia amefeli..... ila likikamilika ndio sifa kwa JPM!! Acheni unafiki nyie CCM kama mmefeli basi mmefeli sio tena akifeli mnamruka akifanikiwa mnajiungamanisha.
 
Kwani januari alikuwa hafanyi ukarabati wa mitambo mpaka kuna kuwa na mgao?
Mlisema anadanganya ili auze majenereta!! Cha ajabu kaja Biteko mgao ndio umeongezeka mara dufu..... vipi naye ana tender ya majenereta?

Sabaya alisema hakuna watu wanafiki kama CCM!! kwa hili pekee nakubaliana naye
 
Vipi nasikia na treni ya umeme tarehe 26/2/2024 inaanza majaribio yumkini ikawa kweli lakini kinachotia shaka licha ya waziri kusema wameingiza hizo megawati still more baadhi ya maeneo watu wana experience mgao.
 
Kama bwawa la Nyerere limeshaanza kuzalisha umeme. Mama samia ametisha kwa kuendeleza magufuli alipoishia
Samia ametisha kwa kuendeleza Magufuli alipoishia ? Kwani Samia alitegemewa aachane na ya Magufuli azue miradi yake mipya ya umeme wa makaa ya mawe ?

Unampa mtu sifa kwa kufanya jukumu lake. Amekutisha wewe labda, third world peasant citizens ambao hata hamjui kiongozi majukumu yake ni nini maskini ya Mungu.

Hatupati viongozi wazuri, wa kufanya makubwa, kwa sababu the bar is set so low, tunaridhika na tuvitu tudogo tudogo tudogoooo....
 
Kwani aliyekamilisha bwawa hadi mageti kushushwa na maji kujazwa alikua nani? Acheni chuki January aliwapisha ila bado mgao mmefeli kuumaliza, sasa mkishindwa bado lawama kwake?
Mkuu Acha kabisa haka kakitu kanakoitwa binadamu........ni moja ya sababu inayonifanya niamini aana uwepo wa siku ya hukumu ya mwisho maana haiwszekani dhambi kama hz za h7sda na chuki na wivu zisipate hukumu yake.
 
Takataka TU
Wewe chadema unaona hili siyo jema kabisa, na hoja zenu zinazidi kumalizwa unapata hasira sana, na bado mpaka June 2025,mtakuwa hamna hoja ya msingi ya kumueleza mtanzania ikamuingia akilini,stay tune,
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, KAZI NA SALA.
 
naona sinatajwa megawat ndogo ndogo kwan mpango ilikiwa megawat ngapi kutoka huko

ni kama 2100 sijui sijui
 
Wanapenda shuguli aise
Utakuta hapo wasanii wataitwa
Kutumbuiza

Ova

Hii ilikuwa ni ishu ya wizara na waziri husika kusimamia...

Unakumbuka wakati wa JK, makamu alikuwa anatembea na mkasi wa uzinduzi 😁...enzi za kuzindia shule za kata na matundu ya vyoo
 
Huyu Mh alinukuliwa hivi karibuni akisema kuwa hajui mgao utaisha lini. Leo anasema umeisha. Hapa ninapoandika ujumbe huu hakuna umeme hapa nilipo. Hii inji ni pasua kichwa kweli kweli
Wewe ndiye umemnukuu vibaya, au labda hukuelewa alichosema. Amesema kuanza kazi kwa mashine #9 kutapunfuza mgao wa umeme kwa asilimia 85. Kwa hiyo kuwashwa kwa mashine #8 mwezi March ndiko kunategemewa kumaliza kabisa upungufu wa umeme kunakosababisha mgao.
 
Kutoka megawati 2000+ hadi megawati 470, hakika mama anaupiga mwingi

235MW x 9 turbines = 2115 MW

Zinawashwa kwa awamu kwa kuwa sasa si zote zilizokuwa tested kuwashwa...

Wanaanza na kifungua milango miwili ya maji kwa awamu, ambapo ni sawa na kuwasha mabwawa mawili ya Kidatu
 
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa.

Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema uzalishaji huo wa megawat 235 utapunguza mgao wa Umeme kwa asilimia 85 na hivyo wananchi wataondokana na kero ya umeme.

"Hata hivyo uzinduzi mi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu ambapo mitambo yote hiyo miwili itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme megawati 470" amesema Dkt Biteko

Pia soma:
- Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania
Ile kauli yako ya watumishi wa Tanesco wasiende likizo, Je Sasa waende likizo au umemsahau?
 
Back
Top Bottom