Kuna yule kahaba na yule mlevi wa konyagi wanataka kusema huo mradi ni vision yao wakati shujaa JPM NDIYO KILA KITU.
 
πŸ‘‰πŸŒˆ una vituko vya hatari, umepewa nafasi ya kuigiza kama cdm lakini unajimix vibaya. Kwamba unajiondoa cdm, lakini hapo hapo unawataka waipongeze ccm? Kwanini usiwapongeze na wanaccm wenzio?
Kwani we jamaa ni shoga ee? Mbona unapenda sana kuzungumzia habari hiyo kwa kuonyesha onitsha huu mbendera wako?!!!
 
Mkuu subiri kidogo, bei ya umeme kwa unit ikishuka kwa asilimia 50% hapo watastahili sifa. Mpaka sasa hakuna anayetamka hilo!

Uzalishaji wa nishati na maendeleo mengineyo nchini ni jukumu la lazima la chama chochote tawala kupitia serikali yake!

Usilazimishe kila mtu kuwa chawa!
 
Mkuu kwani bwawa limejengwa kwa hela ya mshahara wa Magufuli? Au limejengwa kwa hela ya wanaccm pekee yao???
 
Vipi juzi si ulileta uzi hapa kuwa unahamia ccm? Bado tu au unasubiri matarumbeta?
 
Yaani viongozi wa Kiafrika wanapenda kitu kinaitwa uzinduzi, ni muendelezo ule ule wa uswahili wa kucheza cheza ngoma na sherehe za kitamaduni...
Mkuu kwani ngoma za Kiswahili zina ubaya gani, zinakuathiri nini? Usomi wa mwafrika kweli ni mzigo!
 
Tatizo tunawapa uongozi watu wenye upeo mdogo tokea darasani.
Huyu Biteko huyu ndiye atatue matatizo ya nishati kweli?.
Nasikitika sana.
 
Ndo mana nilisema wewe ni ch......oko
Wewe si ulijiondoa cdm? Hao wana cdm unaowaita hapa ni wepi? Punguani wewe
 
Mkuu kwani bwawa limejengwa kwa hela ya mshahara wa Magufuli? Au limejengwa kwa hela ya wanaccm pekee yao???
hakuna mgao wa umeme tena nchini, injoy kazi nzur sana inayofanywa na serikali ya CCM chini ya kiongozi mahiri, makini na madhubuti comrade Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’

Bado kazi kubwa na nzur sana inaendelea. Maswali na hoja zingine za kinadharia kama hiyo yako, tuweza ulizana siku nyingine, kwani muda hakuna tena. Hivi sasa ni kazi kazi kazi kazi kwa vitendo kwa maslahi mapana ya nchi na waTanzania woteπŸ’
 
Pinga Pinga mpo?
 
🌈 Limetuchoma kwenye angle gani, ameigiza kujitoa cdm, na bado anawataka hao hao cdm wawapongeze ccm!
Hakuna mgao tena wa umeme ni muda wa kuinjoy kazi kubwa na nzur sana inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais mahiri na madhubuti sana comrade Dr.SSH, katika kuwaletea Watanzania wote huduma bora na za uhakika Lakini pia kuchochea unafuu wa maisha kwa Wananchi πŸ’
 
but,"time will speak the truth,time never lie,political is zigzag"
 
Mkuu kwani bwawa limejengwa kwa hela ya mshahara wa Magufuli? Au limejengwa kwa hela ya wanaccm pekee yao???
Kwani kilichokwamisha ujenzi toka enzi za Nyerere miaka ya 70 , Mwinyi, Mkapa, Kikwete kilikuwa ni nini? Na JPM aliwezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…