ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwanza hiyo Mikoa hakukuwa na mgao na Mimi Niko mojawapo ya Mikoa inayotumia umeme wa kutoka Nchi jirani.Sawa mimi ni Bwege.
Wewe mwenye akili timamu sasa niambie ilikuwaje wakati wa mgao wa umeme wa nchi nzima, hiyo mikoa ya Rukwa, Katavi na Kagera mgao ndio ulikuwa mkali kupita maelezo?