Sawa mimi ni Bwege.
Wewe mwenye akili timamu sasa niambie ilikuwaje wakati wa mgao wa umeme wa nchi nzima, hiyo mikoa ya Rukwa, Katavi na Kagera mgao ndio ulikuwa mkali kupita maelezo?
Acha kuongea uongo hapa.
Mgao wa umeme ulitandika nchi nzima, na mikoa tajwa mgao ndio ulikolea kupita maelezo.
Hakuna mkoa ambao haukuguswa na mgao wa umeme safari iliyopita.