Biti la Trump limefanya kazi huko Gaza

Biti la Trump limefanya kazi huko Gaza

Nadhani tungetizama malengo ya kila mmoja halafu tutapata picha which is which.

Kampeni ya Israel ilikuwa na malengo makuu manne : kuitokomeza Hamas, kuwaachilia mateka, kuhakikisha Gaza haileti tishio tena kwa Israeli, na kuwarudisha wakaazi waliokimbia makazi yao Kaskazini mwa Israeli.

Israel imeshindwa kufikia malengo yake makuu, kama vile Marekani ilivyoshindwa huko Afghanistan na Vietnam.

Watu wanapaswa kuelewa: Kwa serikali kushinda dhidi ya wanamgambo kama Hamas au Hezbollah, nguvu haitoshi; unapaswa kushinda mioyo ya watu. Inabidi utoe mbadala bora kuliko hali ilivyo--katika kesi hii, Hamas. Inahitaji suluhisho la kisiasa, suluhisho la kiitikadi, sio la kijeshi. Lakini Israeli hawakushinda mioyo ya watu, kinyume chake kabisa. Israel na Marekani zilishindwa kuwaondoa kabisa kutoka Gaza--lengo lao kuu.

Hata Blinken juzi alisema Hamas imeongeza wapiganaji wengi zaidi hivi sasa kuliko walivyokuwa kabla ya vita.

Na vipi kuhusu mateka? Kuwaachilia mateka iliipaswa kuwa kipaumbele cha kwanza lakini Sio tu kwamba makumi yao bado wako mikononi mwa Hamas, lakini baadhi yao waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israeli.

Badala ya kutokomeza Hamas, Israel imejifanya kuonekana kama taifa la kihuni, na Hamas wametoka katika hali hii wakionekana kama "watetezi" wa upinzani wa Palestina.

Sisemi Hamas hawana lawama, La hasha. Lakini jibu la maelfu ya mabomu hayakuitokomeza Hamas; iliimarisha masimulizi yao. Kila bomu lililoua raia, kila mtoto aliyetolewa kutoka kwenye vifusi, kila familia iliyokata tamaa iliyoachwa bila chakula au maji-yote hayo yalivhochea mashine ya propaganda ya Hamas.

Kijiografia, sifa ya Israeli imeharibika, limebakia sasa kama taifa pariah.Nchi nyingi (kama Uhispania, Ireland, Norway..nk) zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hata kujiunga na kesi ya afrika kusini dhidi ya israel

Sifa ya Israel Kimataifa imechafuka. Viongozi wake wanatafutwa rasmi kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wanajeshi wa IDF wamesimamishwa kote ulimwenguni. Kuna kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel na taswira yake imeharibiwa vibaya.

Kwa upande wa Palestina, ni wazi.. Gaza imeharibiwa. Zaidi ya 100k waliuawa na bado hakuna taifa la Palestina. Bado wanaishi bila utaifa chini ya vizuizi vya Israeli.

Hamas Walipata kabisa walichotaka. Walitaka kusalia madarakani, kurudisha sababu ya Palestina kuwa nchi huru, kuizuia mpango wa normalization wa Israel na Saudia na kusaidia wafungwa wa kipalestina kutoka jela.

Vita hivi vinaendea kwisha, lakini cha kusikitisha ni kwamba tatizo la Waisraeli na Wapalestina bado halijaisha. Mzozo utaendelea kwa miaka ijayo.
Pumba za kufungulia mwaka
 
Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti.

Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati patachimbika.

Mapema leo/ jana, imetangazwa kuwa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano [licha ya kwamba mapigano halisi yalikuwa yashaisha maana Hamas walikuwa hawapigani kwa sababu wametandikwa vibaya mno].

Katika makubaliano hayo, Hamas na Israel watabadilishana mateka kwa awamu.

Huyu hapa Rais Trump akichimba biti. Sidhani haya makubaliano ni sadfa tu iliyotokea.

Ni matokeo ya biti la Trump kwa Hamas 🤣.

View: https://youtu.be/6RpFe9j8UpU?si=9uNmGyTKD_X9mJW-
Nenda kapime akili zako wewe kama unamini ceasefire sababu ya Trump. Kipigo cha Hamasi, pia kutoka Yemen pomoja na Hezbullah kabla ya kusimamisha vita ya Lebanon ndio kumeifanya Israel iwe haina nguvu, na US kasaidia mpaa kachoka hawajaweza kuwashinda Hamasi.

Hamasi ni wanaume lazima tukubali ukweli, pia Yemen. Na bila kuwasahau Hezbullah
 
Almendezz great analysis. Kuna mdau kauliza, hivi unafanya negotiation na mtu uliyemshinda kwenye uwanja wa vita?
Ukitaka kuielewa dunia ya sasa usitegemee western media propaganda machines.
You can't bomb your way to peace. Israeli wanted just that.
You can destroy buildings and economies but you can never destroy human spirit.
Hamas kapigwa mno. Lakini mwisho wa siku, hii vita imemuanika Israeli na kuonyesha ni jinsi gani mataifa ya magharibi yalivyo na kiwango kikubwa sana cha unafiki.
Siasa za akina Trump na wenzake kwamba mwenye nguvu mpishe, haziwezi kuleta amani duniani.

Siku zote fear fools, especially when they gang up together.
Umenena vyema Kiongozi. Na kibaya zaidi hao wanaofanya nao negotiations eti wamewaweka kwenye kundi la terrorists. Na sera zao wenyewe zinasema hawafanyi negotiations na ma terrorists 🤣🤣😂😂. wanajitekenya halafu wanacheka wenyewe
 
Gaza kuna nini cha maana kilichobaki?

Israel ilikuwa inajua hao mateka walipo.

Lakini kwa vile inajali wananchi wake, iliamua kutokutumia nguvu kuwakomboa kwa sababu kufanya hivyo kungekuwa ni counterproductive.

Kwa akili yako unadhani Israel ilishindwa kui carpet bomb Gaza?

Si kila wakati kutumia nguvu ni busara.
Walishaharibu kila kitu. There was nothing left to bomb!
 
Kipigo cha Hamasi, pia kutoka Yemen pomoja na Hezbullah kabla ya kusimamisha vita ya Lebanon ndio kumeifanya Israel iwe haina nguvu, na US kasaidia mpaa kachoka hawajaweza kuwashinda Hamasi.
Kaka huyo unayemwambia inaonekana hata hafuatilii mambo ya geopolitics. Anachokiona CNN na BBC basi anameza kama kilivyo.
 
Nadhani tungetizama malengo ya kila mmoja halafu tutapata picha which is which.

Kampeni ya Israel ilikuwa na malengo makuu manne : kuitokomeza Hamas, kuwaachilia mateka, kuhakikisha Gaza haileti tishio tena kwa Israeli, na kuwarudisha wakaazi waliokimbia makazi yao Kaskazini mwa Israeli.

Israel imeshindwa kufikia malengo yake makuu, kama vile Marekani ilivyoshindwa huko Afghanistan na Vietnam.

Watu wanapaswa kuelewa: Kwa serikali kushinda dhidi ya wanamgambo kama Hamas au Hezbollah, nguvu haitoshi; unapaswa kushinda mioyo ya watu. Inabidi utoe mbadala bora kuliko hali ilivyo--katika kesi hii, Hamas. Inahitaji suluhisho la kisiasa, suluhisho la kiitikadi, sio la kijeshi. Lakini Israeli hawakushinda mioyo ya watu, kinyume chake kabisa. Israel na Marekani zilishindwa kuwaondoa kabisa kutoka Gaza--lengo lao kuu.

Hata Blinken juzi alisema Hamas imeongeza wapiganaji wengi zaidi hivi sasa kuliko walivyokuwa kabla ya vita.

Na vipi kuhusu mateka? Kuwaachilia mateka iliipaswa kuwa kipaumbele cha kwanza lakini Sio tu kwamba makumi yao bado wako mikononi mwa Hamas, lakini baadhi yao waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israeli.

Badala ya kutokomeza Hamas, Israel imejifanya kuonekana kama taifa la kihuni, na Hamas wametoka katika hali hii wakionekana kama "watetezi" wa upinzani wa Palestina.

Sisemi Hamas hawana lawama, La hasha. Lakini jibu la maelfu ya mabomu hayakuitokomeza Hamas; iliimarisha masimulizi yao. Kila bomu lililoua raia, kila mtoto aliyetolewa kutoka kwenye vifusi, kila familia iliyokata tamaa iliyoachwa bila chakula au maji-yote hayo yalivhochea mashine ya propaganda ya Hamas.

Kijiografia, sifa ya Israeli imeharibika, limebakia sasa kama taifa pariah.Nchi nyingi (kama Uhispania, Ireland, Norway..nk) zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hata kujiunga na kesi ya afrika kusini dhidi ya israel

Sifa ya Israel Kimataifa imechafuka. Viongozi wake wanatafutwa rasmi kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wanajeshi wa IDF wamesimamishwa kote ulimwenguni. Kuna kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel na taswira yake imeharibiwa vibaya.

Kwa upande wa Palestina, ni wazi.. Gaza imeharibiwa. Zaidi ya 100k waliuawa na bado hakuna taifa la Palestina. Bado wanaishi bila utaifa chini ya vizuizi vya Israeli.

Hamas Walipata kabisa walichotaka. Walitaka kusalia madarakani, kurudisha sababu ya Palestina kuwa nchi huru, kuizuia mpango wa normalization wa Israel na Saudia na kusaidia wafungwa wa kipalestina kutoka jela.

Vita hivi vinaendea kwisha, lakini cha kusikitisha ni kwamba tatizo la Waisraeli na Wapalestina bado halijaisha. Mzozo utaendelea kwa miaka ijayo.
Mtalaamu umechambua vyema sana.
 
Nenda kapime akili zako wewe kama unamini ceasefire sababu ya Trump. Kipigo cha Hamasi, pia kutoka Yemen pomoja na Hezbullah kabla ya kusimamisha vita ya Lebanon ndio kumeifanya Israel iwe haina nguvu, na US kasaidia mpaa kachoka hawajaweza kuwashinda Hamasi.

Hamasi ni wanaume lazima tukubali ukweli, pia Yemen. Na bila kuwasahau Hezbullah
Hahahaaa!

IMG_7445.jpeg

IMG_7446.jpeg
 
Hii ndo Gaza ya leo. Huu ndo upande ulioshinda vita eti🤣.

IMG_7447.jpeg

Akili za Hamas na washabiki wao zinalingana.

Hamas hawakuwa na akili ya kutambua kuwa hawawezi tifu na Israel.

Leo wamefikia makubaliano ya kusitisha vita, mashabiki wao wana claim ushindi 🤣.

Talk about being delusional.
 
Nadhani tungetizama malengo ya kila mmoja halafu tutapata picha which is which.

Kampeni ya Israel ilikuwa na malengo makuu manne : kuitokomeza Hamas, kuwaachilia mateka, kuhakikisha Gaza haileti tishio tena kwa Israeli, na kuwarudisha wakaazi waliokimbia makazi yao Kaskazini mwa Israeli.

Israel imeshindwa kufikia malengo yake makuu, kama vile Marekani ilivyoshindwa huko Afghanistan na Vietnam.

Watu wanapaswa kuelewa: Kwa serikali kushinda dhidi ya wanamgambo kama Hamas au Hezbollah, nguvu haitoshi; unapaswa kushinda mioyo ya watu. Inabidi utoe mbadala bora kuliko hali ilivyo--katika kesi hii, Hamas. Inahitaji suluhisho la kisiasa, suluhisho la kiitikadi, sio la kijeshi. Lakini Israeli hawakushinda mioyo ya watu, kinyume chake kabisa. Israel na Marekani zilishindwa kuwaondoa kabisa kutoka Gaza--lengo lao kuu.

Hata Blinken juzi alisema Hamas imeongeza wapiganaji wengi zaidi hivi sasa kuliko walivyokuwa kabla ya vita.

Na vipi kuhusu mateka? Kuwaachilia mateka iliipaswa kuwa kipaumbele cha kwanza lakini Sio tu kwamba makumi yao bado wako mikononi mwa Hamas, lakini baadhi yao waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israeli.

Badala ya kutokomeza Hamas, Israel imejifanya kuonekana kama taifa la kihuni, na Hamas wametoka katika hali hii wakionekana kama "watetezi" wa upinzani wa Palestina.

Sisemi Hamas hawana lawama, La hasha. Lakini jibu la maelfu ya mabomu hayakuitokomeza Hamas; iliimarisha masimulizi yao. Kila bomu lililoua raia, kila mtoto aliyetolewa kutoka kwenye vifusi, kila familia iliyokata tamaa iliyoachwa bila chakula au maji-yote hayo yalivhochea mashine ya propaganda ya Hamas.

Kijiografia, sifa ya Israeli imeharibika, limebakia sasa kama taifa pariah.Nchi nyingi (kama Uhispania, Ireland, Norway..nk) zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hata kujiunga na kesi ya afrika kusini dhidi ya israel

Sifa ya Israel Kimataifa imechafuka. Viongozi wake wanatafutwa rasmi kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wanajeshi wa IDF wamesimamishwa kote ulimwenguni. Kuna kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel na taswira yake imeharibiwa vibaya.

Kwa upande wa Palestina, ni wazi.. Gaza imeharibiwa. Zaidi ya 100k waliuawa na bado hakuna taifa la Palestina. Bado wanaishi bila utaifa chini ya vizuizi vya Israeli.

Hamas Walipata kabisa walichotaka. Walitaka kusalia madarakani, kurudisha sababu ya Palestina kuwa nchi huru, kuizuia mpango wa normalization wa Israel na Saudia na kusaidia wafungwa wa kipalestina kutoka jela.

Vita hivi vinaendea kwisha, lakini cha kusikitisha ni kwamba tatizo la Waisraeli na Wapalestina bado halijaisha. Mzozo utaendelea kwa miaka ijayo.
Acha propaganda Israel walikuwa na sharti moja lazima hamasi wawaachie mateka na Hamasi walikataa kwa muda mrefu lkn baada ya kipondo wamekubali na mpaka Sasa Hamasi hawatawali tena Gaza walishafukuzwa wamebaki kwenye mashimo wakitafali moto waliouwasha October 7
 
Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti.

Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati patachimbika.

Mapema leo/ jana, imetangazwa kuwa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano [licha ya kwamba mapigano halisi yalikuwa yashaisha maana Hamas walikuwa hawapigani kwa sababu wametandikwa vibaya mno].

Katika makubaliano hayo, Hamas na Israel watabadilishana mateka kwa awamu.

Huyu hapa Rais Trump akichimba biti. Sidhani haya makubaliano ni sadfa tu iliyotokea.

Ni matokeo ya biti la Trump kwa Hamas 🤣.

View: https://youtu.be/6RpFe9j8UpU?si=9uNmGyTKD_X9mJW-

u don't know shit about the shit u just spoke, hilo taifa lenu teule la shetani limeshindwa na wanamgambo tu wa Hamas , miezi 15 limeshindwa kuokoa mateka wake kwenye eneo dogo tu la GAZA eneo ambalo lina fensi kila kona,
 
Acha propaganda Israel walikuwa na sharti moja lazima hamasi wawaachie mateka na Hamasi walikataa kwa muda mrefu lkn baada ya kipondo wamekubali na mpaka Sasa Hamasi hawatawali tena Gaza walishafukuzwa wamebaki kwenye mashimo wakitafali moto waliouwasha October 7
Teh teh teh eti wamebaki kwenye mashimo kama nguchiro 🤣.

Netanyahu kawanyoosha vizuri sana.

Bila pia kusahau alivyowahasi Hezbollah na zile pager zao 🤣.

Sasa hivi hao wapiganaji wa Hezbollah hawana mapuumbu 🤣.

Hata vile vibikira 72 haviwataki tena.
 
Kufa kishujaa ni wanaume wewe nenda kapime akili zako eti sababu ya Trump. Hivi Trump angefanya nini zaidi ya alicho fanya Israel 🤣

Hamasi wanaume Nyau kakubali vita sio solution.
Kufa kijinga ni ufala.

Wasingelianzisha hiyo Oct. 7 si ajabu leo hii wangekuwepo.

Ila kwa vile ni ma zuzu, sasa hivi wanaoza na kugeuka funza huko waliko.

Natamani waliobaki walianzishe tena 🤣.
 
Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti.

Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati patachimbika.

Mapema leo/ jana, imetangazwa kuwa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano [licha ya kwamba mapigano halisi yalikuwa yashaisha maana Hamas walikuwa hawapigani kwa sababu wametandikwa vibaya mno].

Katika makubaliano hayo, Hamas na Israel watabadilishana mateka kwa awamu.

Huyu hapa Rais Trump akichimba biti. Sidhani haya makubaliano ni sadfa tu iliyotokea.

Ni matokeo ya biti la Trump kwa Hamas 🤣.

View: https://youtu.be/6RpFe9j8UpU?si=9uNmGyTKD_X9mJW-

Kwa hiyo Israel wameamua kukaa meza moja na Magaidi Hamas?

Sawa vita unasema vimeisha sasa makubaliano ya nini?

Unatumia fikra zako, Israel kakubali masharti yote ya Hamas mpaka mawaziri wake wanatushia kujiuzuru wewe unaleta porojo unajua Trump alituma mtu kwenye hayo makubaliano?

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1879594386805457152?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Teh teh teh eti wamebaki kwenye mashimo kama nguchiro 🤣.

Netanyahu kawanyoosha vizuri sana.

Bila pia kusahau alivyowahasi Hezbollah na zile pager zao 🤣.

Sasa hivi hao wapiganaji wa Hezbollah hawana mapuumbu 🤣.

Hata vile vibikira 72 haviwataki tena.
Mbona umemshahu Bikira Maria ni muhimu sana kwa vibikra 72😂

Wewe endelea na ushabiki mandazi Israel wanajua Hamas walichowafanyia.
 
Back
Top Bottom