Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

Wasiwe na haraka ya kuondoka. Waombe mkutano na Mama! Anaweza kuwapa Tanga nzima iwe yao. Mama hataki watu waumie!
 
Waende tuu
Sie wenyewe tumevurugwa na hili swala la bagamoyo wao nao wanataka kutuvuruga zaidi waende tuuu hamna namna.
 
Mkuu punguza kufuatulia YouTubers wale wanaenda na upepo wa kinacho trend kama vile ma influencer wa social media..

Hizo ni contents tu za YouTube, hakuna watu waliokuwa wanampango wa kuhama USA waje kuishi Tz
 
Tunaacha hela kwa uzembe..

Wakati kuna wakenya wanamiliki ardhi hapa tena asilimia 100...

Tutumie hizo loophole wanazotumia wakenya tuchukue hela hizo..
.nchi kama Ghana zimeweka Hadi mazingira ya wao kufaidika na uchumi
 
Hili la kumiliki ardhi big NO. Hatuwezi kuwa watumwa kwenye nchi yetu.
Hakuna mwenye kumiliki ardhi milele. Ndiyo maana kuna “renewal” baada ya miaka 99. Ardhi yote ni mali ya serikali, hata wazawa wanapewa kwa mkataba. It’s about mindset. Poor one.
 
Awaijui Afrika hao yaani utoke kwenye civilization uje ushenzini.
Maisha yetu ya muogo samaki,mchiriku kazini saa tatu tunayajua wenyewe,bado awajazulumiwa na waswahili,kurogwa,longolongo tele mbona wangerudi kwao.
 
Hakuna mwenye kumiliki ardhi milele. Ndiyo maana kuna “renewal” baada ya miaka 99. Ardhi yote ni mali ya serikali, hata wazawa wanapewa kwa mkataba. It’s about mindset. Poor one.
Wabongo unapoongelea suala la ardhi wanakuwa wapo sensitive sana!

Ninahisi wengi waliochangia huu uzi wanaishi dar es laam na kutokana na ardhi ya dar kuwa hotcake wanaamini tanzania nzima ipo ivo

Hawajui jinsi sehemu kubwa mno ya nchi yetu ipo empty. So far tuna km za mraba laki tisa na zinazotumiwa sidhani hta km zimefika laki tatu.

Nigeria size yake inakaribiana na nchi yetu na ina watu zaidi ya millioni 200 na still bado wana ardhi ya kutosha tu.
 

Mkuu Dubai sio bongo, Dubai tayari ni nchi iliyokwishaendelea kibiashara, kwahiyo mtu mwenye hela hogopi kuekeza, kwanza ana uhakika wa usalama wa pesa yake, pia hao unaoingia nao partnership ni watu waliostaarabika sio wabongo hawachelewi kukugeuka, Yameshatokea mengi hapa kuna wazungu wamenyang'anywa hoteli zao Zanzibar.
 
Wamekutuma ulete malalamiko yao humu? Waondoke tu ikiwezekana wasindikize uende nao
 
Sheria zetu za uhamiaji ni za ovyo sana.

Kuhusu Ardhi sikubaliani na suala la wageni kumiliki Ardhi, wakihitaji wawe wanakodishwa japo hata kama isiwe kwa hela kubwa ila pia mikataba isiwe ya mda mrefu sana.

Suala la lazima kuwa na partnership na mzawa hilo ni upuuzi kwa nchi kama yetu.
 
Wewe unataka wamiliki ardhi???
Au wewe ndo mmoja wa hao "Black Americans"
Kila mgeni akiruhusiwa kumiliki ardhi itakuwaje??

Kama wewe ni Mtanzania kuwa Mzalendo.
Wafate washarti yaliyowekwa wenye bia njema kwetu sisi Watanzania.
 
Kipi bora? Kuwa na ardhi kubwa isiyo na matumizi au kuwauzia baadhi ya watu waiendeleze na kutengeneza ajira?
Nani kakwambia haina matumizi???
Acha kutumika wewe.
 
Nani kakwambia haina matumizi???
Acha kutumika wewe.
Hawa waliokuja kwa wingi baadhi yao nimewaona ni wale wasionakitu kama sisi tu huku kuna wengine ni criminals kabisa walifikiri tumelala wamekuta tuko machooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…