Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
  • Hamna hela
  • Hamna viewer
  • Hamna comment
  • Hamna faida yeyote

Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.

Naambulia kulipia tu domain

Hahaaaa..... Watu wamevamia na youtube kwa ujasiliamali wa makaratasi...usichoke kazana
 
Community is everything it takes a whole lot of time and hard work....; and your competition is just a click away...

Ni nini unakiongelea na unaongea na kina nani ? (Tafuta Niche Market), na baada ya hayo yote fanya kama hobby sio necessarily kutajirika unless unatumia hio medium kuuza bidhaa zako nyingine na sio kutegemea matangazo ya clicks;

It's a jungle out there....

NB: It makes sense kwa mtu kama Masoud Kipanya kuwa na outlet yake ya kuonyesha kazi zake kwenye online media hata kama hana watu itakuwa online atakuwa anawaongezea outlet nyingine (Maana yangu ni kwamba anaongeza huduma kwa wateja wake) - Maybe look at these mediums in that limelight...
 
Unanishaurije sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…