Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
  • Hamna hela
  • Hamna viewer
  • Hamna comment
  • Hamna faida yeyote
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.

Naambulia kulipia tu domain

Blogs ni 2007 hadi 2010's huko.
Hivi watu bado wanafanya blogs?

Unanikumbusha kipindi hiko nina computer ya chogo na windows XP,kila jambo ni ku access website, websites ziliwapa utajiri sana watu kipindi hiko kwa wajanja waliotangulia.

Apps za simu ilikuwa bado sana, hata youtube ni wabongo wachache sana waliweza itumia, facebook nayo ilikua inachipukia, jamiiforums n.k.
 
Nielekeze mkuu namm
 
Kaza.
Screenshot_20240315-205804.jpg
 
Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
  • Hamna hela
  • Hamna viewer
  • Hamna comment
  • Hamna faida yeyote
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.

Naambulia kulipia tu domain

Nilitaka kufanya hii ishu ila nika kumbuka sasa hivi kila kitu kipo kwenye social media apps kama instagram, facebook, twitter n.k so nika achana nayo...
 
Bado blog ni deal maana ata wazungua wanaamini sana blog sema wao blog zao zime base upende mmoja,mfano blog ya afya inabidi Taarifa zote za afya uwe nazo na uchambuzi wakina hii itakusaidia kupata matangazo la afya na inakubidi uwe connected na watu kuna dada ana blog ya afya uwezi amini alipewa dola 2000 na UN
 
Back
Top Bottom