Umeniinspire na online radio yako umekuja tofauti. Niliuliza hivyo kwa sababu nilitaka kujua kama ni mbongo au ni wa mbele maana niliona ilikuwa ela kidogo ila kama ni mbongo ni nyingi. Kitu kimoja ambacho nimekinotice... Huwezi fanya mtu anachofanya ukafanikiwa unless kiko ndani yako.
Mimi na earn ela ndefu online but si kati ya hayo yote. Blogging ilinishnda sikumaliza hata mwezi nikaona si passion yangu. YT same, nikaja kuona passion yangu ni kuuza services zangu. Yani ile mikutano na maclients, feedback za kazi nilizofanya, ratiba za vikao nao mwezi mzima I just enjoy every bit of it.