DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Tumia pia telegram kupata followersmatangazo ya kazi!
sijui watu hawataki kazi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia pia telegram kupata followersmatangazo ya kazi!
sijui watu hawataki kazi tena
Unaandika vitu ambavyo havina mvuto, au huitangazi, SEO yako mbovu labda haitokei kwenye search, hujainvest vya kutosha. Haya yote yanaweza kwua majibu.Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.
- Hamna hela
- Hamna viewer
- Hamna comment
- Hamna faida yeyote
Naambulia kulipia tu domain
Unakosaje sasa.watu ?ni kizungu hata ivo
Kwanza alitakiwa mwisho wa uzi aweke na link ili atushawishi na sisiTupe link Mkuu na sisi tupitiemo kuongeza viewers na pengine ikatufaa pia
Na ndio nahisi anakosea haya usemayoUnaandika vitu ambavyo havina mvuto, au huitangazi, SEO yako mbovu labda haitokei kwenye search, hujainvest vya kutosha. Haya yote yanaweza kwua majibu.
Blogging kwa watu waliofanikiwa ni passion
Mm ndo BakhresaUnamiliki Azam tv kivip
Umerogwa wwMm ndo Bakhresa
AmaaaNa ndio nahisi anakosea haya usemayo
Heeh magrup yote hayo ‘!!Matangazo ya kazi then content ni 360 around hii inamaanisha kwa miaka miwili kila baada ya siku mbili ulikuwa una post tangazo moja la kazi this is not serious.
Tangazo Content ambayo already cooked wewe kazi yako kupost tu then unapost moja kwa siku...Mosi.
Pili kwa traffic hio inaonesha haukua na group la WhatsApp la ajira, traffic kwa Niche ya kazi inabidi uwe na group la ajira hata matano wewe unapost matangazo na kuweka link per day lazima ufikishe Viewer wengi hata 10,000
Balesa 😂Hata hapo ulipofika sio haba, endelea kupambana.
Hata mm nilianza kwa kumiliki Tv ya inch 1 na sasa namiliki Azam Tv.
Tokuu tokuu saundii!!🎼🎼🎼Balesa 😂