Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

Bonge Mpya

Member
Joined
Jul 6, 2021
Posts
39
Reaction score
136
Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).

Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.

Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi lakn sasa hivi ni mwendo wa milion tu kwa Mwezi. Angalia picha hiyo Kisha thibitisha mwenyew. Dola 1 = Tsh2330.

Screenshot_20221213-123038.png

Kama tayari una blog na unataka kupiga pesa nicheki inbox ila kama Hauna blog nakushauri tembelea YouTube tazama video ujifunze.
 
Najaribu kukuchek inbox inagom sjui shida nn Ila Nina blog ambayo ni.blogspot awezaj kuiconnect ili niwe nalipwa?
Kama unaamua kuifanya blog kuwa sehemu ya kipato ni Bora ununue domain (25,000/= au zaidi).
Lakin pia domain ya .blogspot inachukua muda mrefu sana kuikonekt na Adsense na pia haifany vzur sana Google. (Yan Kupata organic traffic)
Kuikonekt na Adsense ingia kwenye dashboard yako ya blogger bonyeza Earnings kisha Connect Blog.
 
Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).
Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.

Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi lakn sasa hivi ni mwendo wa milion tu kwa Mwezi. Angalia picha hiyo Kisha thibitisha mwenyew. Dola 1 = Tsh2330.

View attachment 2445032
Kama tayari una blog na unataka kupiga pesa nicheki inbox ila kama Hauna blog nakushauri tembelea YouTube tazama video ujifunze.
Mwaga mchele kila mtu afaidi
 
Kama hawaamini waambie wamuulize dj choka
 
Back
Top Bottom