Tengeneza site yako, weka custom domain, weka vipengele muhim kama About page, Terms of use, Privacy Policies, Contact Page.
Language: Adsense hawakubal lugha ya kiswahili hivyo the moment unaomba make sure 100% ya content yako ipo kiingereza au lugha ambao wao wanakubali.
Copyright: andaa content zako usicopy paste kwa mtu, ikatokea umechukua content za mwngne uwe vzuri kwenye kingereza means ubadilishe misamiat yan isiwe exactly kama ulivoitoa kwenye site flan.
Zingatia hivyo weka content nzuri kwa muda apply adsense, mda mwingine hua wanataka ufukishe miezi sita ndo uombe ila sometimes before miez sita unaweza kubaliwa endapo wamereview wakaona una vigezo vyote.