Bonge Mpya
Member
- Jul 6, 2021
- 39
- 136
Kama issue Ni kuwa na blog na mtu tayari ana blog kwanini asipige hela Hadi akucheki inboxKama tayari una blog na unataka kupiga pesa nicheki inbox
nani ana kulipa..?
Iyo post inajieleza...Fatilia zaidi kuhusu AdSense hao ndio wanaolipa.nani ana kulipa..?
Kama unaamua kuifanya blog kuwa sehemu ya kipato ni Bora ununue domain (25,000/= au zaidi).Najaribu kukuchek inbox inagom sjui shida nn Ila Nina blog ambayo ni.blogspot awezaj kuiconnect ili niwe nalipwa?
mmoja ni wewe wa kufikisha hiyo pesa ndio maana unahitajika inbox.nani ana kulipa..?
Mwaga mchele kila mtu afaidiMwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).
Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.
Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi lakn sasa hivi ni mwendo wa milion tu kwa Mwezi. Angalia picha hiyo Kisha thibitisha mwenyew. Dola 1 = Tsh2330.
View attachment 2445032
Kama tayari una blog na unataka kupiga pesa nicheki inbox ila kama Hauna blog nakushauri tembelea YouTube tazama video ujifunze.
Labda niandae uzi mwingineMwaga mchele kila mtu afaidi
Itakua vizur watu waoga wakuja pm [emoji23]Labda niandae uzi mwingine
Fanya hivyo mkuu ukiandaa naomb uni tagLabda niandae uzi mwingine
Kama hawaamini waambie wamuulize dj chokaMwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).
Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.
Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi lakn sasa hivi ni mwendo wa milion tu kwa Mwezi. Angalia picha hiyo Kisha thibitisha mwenyew. Dola 1 = Tsh2330.
View attachment 2445032
Kama tayari una blog na unataka kupiga pesa nicheki inbox ila kama Hauna blog nakushauri tembelea YouTube tazama video ujifunze.
Ukiandaa nitag mkuu. Nakufatilia kwa umakini Sana.Labda niandae uzi mwingine